Tanzania VS C.A.R

Kilakshari

JF-Expert Member
Dec 13, 2008
350
20
Haya waungwana, Taifa Stars leo inasaka pointi 3 muhimu mikononi mwa C.A.R ambao kwa sasa ndio viongozi wa kundi D, linalojumuisha timu zingine za Algeria, na Morrocco. Tunaomba wadau wanaojua matokeo au chochote kuhusu mechi hii watuhabarishe. Mungu ibariki Tanzania, ibariki Taifa Stars iweze kushinda mechi hii muhimu ya leo.
 
wadau tunawategemea kwa updates, Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Taifa Stars:pray:
 
Nimeangalia myp2p.eu haipo kwenye list ya mechi zitakazoounyweshwa leo. Labda kutakuwa na website ingine watarusha. Ila nategemea TV na redio za bongo zitaonyesha na kutangaza mchezo huu.
 
mi nashanga walioandaa tamasha la mzalendo huko biafra nasikia linafanyika wakati mmoja na mechi hiyo, tutashangilia saa ngapi. Mlio uwanjani mtupe updates.
 
Jamani mpaka saa hizi hakuna mwenye taarifa kama game limeanza au......
 
Naona Star TV kama wataonyesha hii mechi, naona jamaa wanaongelea hii mechi.
 
Tumeshapigwa bao moja......dakika ya pili.......dah inasikitisha mapema hivi...
 
Star TV mechi ilikua inarushwa lakini gafla imekatishwa, sijui wameona kudalili za Tz kupigwa mvua ya magori!!!
 
Pamoja na kupigwa bao la mapema. Je, Stars wanaonyesha matumaini, au wameelemewa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom