Tanzania VS C.A.R

Commentators wanasemaje kwa performance yetu ilivyo? Tujuzeni wengine tupo offline..
sorry hivi hao watu tunao kweli au ni washabiki tu, sijui ngoja tusikilizie lazima babu wa Loliondo atatajwa hapo....
 
Tusikate tamaa, labda kipindi cha pili wataingia na mbinu mbadala ya kuwawezesha kupata mabao.
 
Au nanihii kaenda huko uwanjani....si naskia hua akienda lazima tufungwe??? nani yule anaitwa vile, naombeni mnikukbushe bana, yule anaechekacheka hata kama analia...aaha nani vile Mpwa, hebu nikumbushe basi...Vipi yupo?? kama yupo ndio mjue basssssssiii hatufungi hata kwa dawa ya babu
 
Yaani mpk mpirani tunaishi kwa 'matumaini', NGOJA TUSUBIRI HICHO KIPINDI CHA PILI LABDA NJIWA WEUPE WATATUA KWENYE MOJA YA GOLI NASI KUAMBULIA SARE YA NGUVU ZA VIGAGULA.
 
TFF ni chama cha siasa..siyo cha mpira,wanakaa wanasubiri kuhesabu mapato..wanamkwamisha kocha wanafanya mazingaombwe kwenye techinical issue...baadae utasikia kocha hafai,kwa nn TFF wameshndwa kujua umuhimu wa wachezaji walio nje mpaka wanamzingua kocha wetu? they should go to hell !
 
Au nanihii kaenda huko uwanjani....si naskia hua akienda lazima tufungwe??? nani yule anaitwa vile, naombeni mnikumbushe bana, yule anaechekacheka hata kama analia...aaha nani vile Mpwa, hebu nikumbushe basi...eheeeehh huyo huyo....Vipi yupo?? kama yupo ndio mjue basssssssiii hatufungi hata kwa dawa ya babu. Mbona hamnijibu? au mko nae karibu hapo?? hajasafiri kwani??
 
Hatimae Taifa Staz wamepata bao

Mmmh, mbona sielewi< tumefungwa au tumefunga?? naona kuna thread nyingine imeanzishwa kule inasema tumefungwa, hapa unasema tumefunga...which is which jamani?? tusaidieni basi
 
Au nanihii kaenda huko uwanjani....si naskia hua akienda lazima tufungwe??? nani yule anaitwa vile, naombeni mnikukbushe bana, yule anaechekacheka hata kama analia...aaha nani vile Mpwa, hebu nikumbushe basi...Vipi yupo?? kama yupo ndio mjue basssssssiii hatufungi hata kwa dawa ya babu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom