Tanzania VS C.A.R

Pamoja na kupigwa bao la mapema. Je, Stars wanaonyesha matumaini, au wameelemewa.
Jamaa ni wa kawaida kabisaaa,tunakosa mbinu mjalabu kuwafunga na kwa kiwango chetu mpaka huu kabumbu ni 50/50. Bahati mbaya hatujui kuwa wao wana mtaji tayari
 
Taifa Star kwa dk hizi za mwanzo wanaonyesha uhai hasa Henry Joseph, Banka, Ngasa na Machupa, lkn speed ni ndogo. Inabidi wapewe presha na kocha; kipa ni Kado.
 
Vipi kuna ka_TV kokote kanaonyesha mkuu??
nipo kijiweni bado nilitaka nimuombe My wife wangu aende home akatazme kwa niaba yangu then jioni/usiku anisimulie pls pslsssss
 
Vipi kuna ka_TV kokote kanaonyesha mkuu??
nipo kijiweni bado nilitaka nimuombe My wife wangu aende home akatazme kwa niaba yangu then jioni/usiku anisimulie pls pslsssss

TV yenu ya Mwanza inarusha(Star TV)
 
Inakatisha tamaa, 50/50 @ home ground na we r still behind kweli???
 
Wakimaliza kwa matokeo hayo afadhali tuji-engage kwenye kiduku zaidi...
 
Mi ndo maana huwa siendi mpirani taifa, SIELEWI TATIZO LIKO WAPI.
 
ni Half Time:
Kwa ujumla sijaona ufundi wowote ndani ya dk 45. Afrika ya kati ni wa kawaida sana. Ilitakiwa hadi tuwe tunaongoza.
 
Watanzania wameanza kupoteza tena hamu na timu yao ya Taifa....uwanja wa Taifa upo tupo....watazamaji ni wachache,hata mechi ya Wasanii wa bongo ulifunika.........whats wrong?
 
kama tukishindwa hao tunaodhani ni wa kawaida, tutawezaje kupambana na wanaoujua?......anyway ngoja tuone next half itakuwaje
 
ni Half Time:
Kwa ujumla sijaona ufundi wowote ndani ya dk 45. Afrika ya kati ni wa kawaida sana. Ilitakiwa hadi tuwe tunaongoza.

Well, matitozo ni Saikologia ya wachezaji wetu.
Kama vile viongozi wanavyopenda porojo na wacehzaji wetu hivyohivyo.....always mtoto ana reflect wazazi wake.
Tusitarajie mabadiliko makubwa kwenye soka yetu hadi uongozi wote utakapobadilika kimawazo na kimtazamo.

Any way lets wish Stars ishinde.
 
Commentators wanasemaje kwa performance yetu ilivyo? Tujuzeni wengine tupo offline..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom