Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 10,799
- 22,221
Kweli kabisa.
FaizaFoxy ni mdini hatari. Nayo ni aina fulani ya ujinga. Sijui alifundishwa shule gani ujinga huu.Mimi mwenyewe nakushangaa mjinga kama wewe, kila mada inayoletwa JF unaitazama kiudini.
Huo ndiyo ujinga wa hali ya juu, hata ulichokiandika hakieleweki, "sisiemu" ndiyo nini?
na wewe ni kilaza pia leo umegeuka heeeHili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti.
Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kenehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa.
Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote yanayojiri sasa hivi. Tumefikikia kubishana kijinga kabisa, kuna watu wanabishana kuhusu biashara, hajawahi kyufanbya biashara toka kuzaliwa. Kuna watu wanabishana kuhusu bandari hajawahi kuiona hata bahari. Ni ujinga tu.
Kuanzia jana nimekaa natazama wanasheria weu wamakwenda baraza la usuluhushi la Kimataifa, mpaka kichefuchefu, mtu unajiuliza walienda kufanya nini kama siyo kuendelea kututia hasara?
Hivi walilazimishwa kuongea Kingereza? Si wangeomba watapta? Mpala nimeona kichefuchefu, hivi waziri aliyewapeleka hauoni huu utu mbi wanaoufanya huko? Dah! Inatisha.
Naamini kabisa kutoka ndani ya moyo wangu, hatuna adui umasikini, hatuna adui maradhi. Adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Watanzania tu wajinga wa hali ya juu.
Ujinga unatufanya tuwe na maradhi, ujinga unatufanya tuwe masikini, ujinga unatufanya tuwe wezi, ujinga unatufanya tuwe na kila baya.
Tufanye nini kuondokana na adi ujinga?
Nasubiri majibu ya kijinga.
Mimi niwe kilaza au Mwishehe, , haina tatizo.
Ni vyema kuwa hoja umeikubali na hujaipinga hata kidogo.
aueleweki kipi unasimamia unatuchosha tuu wewe kizeeMimi niwe kilaza au Mwishehe, , haina tatizo.
Ni vyema kuwa hoja umeikubali na hujaipinga hata kidogo.
CCM ni mzazi wa uovu na udhalimu woteUnaona ujinga huo? Ulilazimishwa kuwa CCM?
Boko Haram ilianzishwa iliSasa huo uliouandika kama si ujinga ni nini?
Nimefurahi kuwa hujaipinga hoja yangu, umeiona hoja lakini, au ndiyo ujinga umekujaa?
Dada Faiza salaam!Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti.
Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kenehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa.
Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote yanayojiri sasa hivi. Tumefikikia kubishana kijinga kabisa, kuna watu wanabishana kuhusu biashara, hajawahi kyufanbya biashara toka kuzaliwa. Kuna watu wanabishana kuhusu bandari hajawahi kuiona hata bahari. Ni ujinga tu.
Tufanye nini kuondokana na adi ujinga?
big up bro wapige spana hawa sijui wamerogwaDada Faiza salaam!
Mada yako ni nzuri lakini nitaunga mkono andiko lako 50% tu......kwa nini?
Kwa sababu, wewe si unajua ujinga ni sera ya chama chako CCM? Tusizunguke mbuyu, mhusuika na mtuhumiwa mkuuwa wa ujinga na upambuvu uliopo ni mmoja tu - CCM.
Wao hawataki kuwapa watoto/watu elimu yenye maarifa; sera yao ni "mtu/mtoto ajue kusoma na kuandika" - na ndio maana Bunge letu na Halmashauri zimejaa wajinga na wapambuvu wanaojiita "viongozi". hayo mengine huwa ni mbwembwe na kupoteza muda wa watoto/vijana tu. Ninataarifa za kuwepo kwa watoto waliomaliza darasa la saba na hata kidato cha nne wasiojua kusoma wala kuandika, yaani CCM wameendelea kufanikiwa zaidi!
Wingi wa shule au madarasa sio elimu. Schooling should never be confused with EDUCATION.
Na unafahamu nchi hii haijawahi kuwa na utawala tofauti na CCM.
Nakuomba uweke mbali itikadi na tofauti zetu kwa mustakabali wa vizazi vyetu na nchi yetu.
Tuungane kudai Katiba Mpya! Ili tuweze kujipanga upya na kusaidia watoto na wajukuu zetu.