Tanzania & Rushwa: What Is The Alternative?

Apr 27, 2006
26,588
10,376
Heshima mbele sana Great Thinkers:-

- Sio siri kwamba Tanzania, tunasumbuliwa sana na tatizo moja sugu kuliko yote nalo ni tatizo la Rushwa. Miaka nenda miaka rudi tunahangaika pale pale na infact ndio kwanza hili tatizo linazidi kushamiri, I mean how did we get here na hili tatizo?

- Nimesikia viongozi wengi tena kwa miaka mingi sana wakilia sana kuhusu rushwa, lakini sijawahi kusikia wakisema alternative ya rushwa ni nini hasa?

- Wa-Tanzania tufike mahali tujulize tulifikaje hapa na Rushwa, wapi tunakwenda nayo? na What is the alternative?

William @DSM City!
 
Wewe umezaliwa ,umelelewa na umekuwa kwa rushwa
bado unaendeleza rushwa... Kumbuka juzi ulitoa rushwa source wewe mwenyewe
naona hii topic ni ngumu wewe kuizungumzia
ni sawa na kutoa kijiti kwenye jicho la mwenzako na wewe una borit
shikamoo kaka
 
Kwa bahati mbaya tumekuwa waongeaji zaidi kuliko watekelezaji. na nidhamu tuliyoijenga ni ile ya kinafiki na uoga. Pale tunapotakiwa kusema tunakaa kimya kama hatupo. Pale tunapotakiwa kufanya tunakimbia pembeni kama hayatuhusu. Na system imetumiwa vibaya kwa muda mrefu kuwatishia watu wasije majasiri wa kupigana na rushwa kwa ajiri ya kulinda maslahi ya watu wengine wachache.
Hapo tulipo rushwa imekuwa kama cancer inayotutafuna kwa speed ya light. Na hawa viongozi wengi tulionao leo wamezama ndani kabisa ya tatizo hilo kiasi kwamba namna pekee ya kuwezesha siku moja ipite bila kupigiwa kelele ni kutoa matamko yenye giriba na uongo mwingi kwa mtindo ule ule wa kufunika kombe ili mwanaharamu apite.
 
System overhaul!
Unabomoa kila mahali, na unaanza na uso wa mbuzi!
Hapa sasa anatakiwa mtu(rais) wa aina ya DIKTETA...Hawa wa kuchekacheka tumeshawaona kuwa wana watatulaza porini.

We need our own "Panneta" to overhaul the whole system. Wabakie wale tu wanaojua wanafanya nini maana ilivyo leo system imekuwa kijiwe cha wateule...wale na kuvimbiwa na bila aibu kuvuna pale wasipopanda.
 
heshima mbele sana great thinkers:-

- sio siri kwamba tanzania, tunasumbuliwa sana na tatizo moja sugu kuliko yote nalo ni tatizo la rushwa. Miaka nenda miaka rudi tunahangaika pale pale na infact ndio kwanza hili tatizo linazidi kushamiri, i mean how did we get here na hili tatizo?

- nimesikia viongozi wengi tena kwa miaka mingi sana wakilia sana kuhusu rushwa, lakini sijawahi kusikia wakisema alternative ya rushwa ni nini hasa?

- wa-tanzania tufike mahali tujulize tulifikaje hapa na rushwa, wapi tunakwenda nayo? Na what is the alternative?

william @dsm city!
altenative ni pamoja na kuwathibiti watoa rushwa ,kama wabunge wa upinzani walivokufanyia
unachukua hiyo rushwa ila humpi huduma husika...
Siku nyingine hatorudia tena..
Atakuwa na somo kichwani
kama wewe sasa .hivi ulilizwa sh ngapi mkuu?
 
hakuna solution zaidi ya hii na tunaanza hapo nyumbani
iran excution.jpg
 
Heshima mbele sana Great Thinkers:-

- Sio siri kwamba Tanzania, tunasumbuliwa sana na tatizo moja sugu kuliko yote nalo ni tatizo la Rushwa. Miaka nenda miaka rudi tunahangaika pale pale na infact ndio kwanza hili tatizo linazidi kushamiri, I mean how did we get here na hili tatizo?

- Nimesikia viongozi wengi tena kwa miaka mingi sana wakilia sana kuhusu rushwa, lakini sijawahi kusikia wakisema alternative ya rushwa ni nini hasa?

- Wa-Tanzania tufike mahali tujulize tulifikaje hapa na Rushwa, wapi tunakwenda nayo? na What is the alternative?

William @DSM City!

"Rushwa is a trickle down economics in Tanzania, no wonder ni watu wachache sana ambao genuinely wanaichukia, and is only pale wanapokuwa affected"

Hebu someni hii habari hapa chini halafu niambie ingekuwa bongo ingekuwaje!!!!!!!! Huyu jamaa alikuwa waziri kwa siku 14 tu, tena waziri wa polisi.

POLICE Minister David Gibson has been forced to resign by Queensland Premier Campbell Newman over allegations he drove a motor vehicle while his licence was suspended.

The shock decision to remove Mr Gibson, who also held the community safety portfolio, followed a brief meeting with Mr Newman in his Executive Building office.

It is alleged Mr Gibson was caught speeding in February while unlicensed - but the Gympie MP insists he had not received the relevant paperwork at that time.

"Mr Gibson informed me that in November last year, due to an unpaid speeding fine, his driver's licence was suspended for three months," Mr Newman said last night.

"During that time it is alleged Mr Gibson on one occasion drove a motor vehicle and will now face a possible charge of unlicensed driving.

"Mr Gibson maintains he was unaware of the correspondence informing him of his licence suspension."However Mr Gibson knows of the high standard I expect from my ministers and so he has tendered his resignation which I have accepted," he said.

Mr Newman said he would today appoint a new minister to the police portfolio.Mr Gibson could not be contacted last night but he released a short statement on Twitter and Facebook saying he was caught speeding in February and "it was brought to my attention" yesterday that his licence had been suspended at the time.

Read more: Campbell Newman dumps Police Minister David Gibson over claims he drove while suspended | News.com.au
 
Heshima mbele sana Great Thinkers:-

- Sio siri kwamba Tanzania, tunasumbuliwa sana na tatizo moja sugu kuliko yote nalo ni tatizo la Rushwa. Miaka nenda miaka rudi tunahangaika pale pale na infact ndio kwanza hili tatizo linazidi kushamiri, I mean how did we get here na hili tatizo?

- Nimesikia viongozi wengi tena kwa miaka mingi sana wakilia sana kuhusu rushwa, lakini sijawahi kusikia wakisema alternative ya rushwa ni nini hasa?

- Wa-Tanzania tufike mahali tujulize tulifikaje hapa na Rushwa, wapi tunakwenda nayo? na What is the alternative?

William @DSM City!

Tuliko toka nakuomba ukakae vizuri na baba yako akusimulie kuhusu Mwinyi. alianza na Tausi wa ikulu akamalizia na kuiuza Loliondo. Tuliko ni kwenye kiwango cha juu sana ambacho kikiendelea kwa miaka 5 matokeo ni vita! Kuhusu cha kufanya umenisikitisha kuona hujui na wewe unanyatia nafasi kubwa za uongozi wa nchi hii. kwa msaada zaidi kaongee na Dr Slaa atakusaidia kukukumbusha! ukitaka kuijua rushwa tafuta: www.pccb.go.tz
 
Heshima mbele sana Great Thinkers:-

- Sio siri kwamba Tanzania, tunasumbuliwa sana na tatizo moja sugu kuliko yote nalo ni tatizo la Rushwa. Miaka nenda miaka rudi tunahangaika pale pale na infact ndio kwanza hili tatizo linazidi kushamiri, I mean how did we get here na hili tatizo?

- Nimesikia viongozi wengi tena kwa miaka mingi sana wakilia sana kuhusu rushwa, lakini sijawahi kusikia wakisema alternative ya rushwa ni nini hasa?

- Wa-Tanzania tufike mahali tujulize tulifikaje hapa na Rushwa, wapi tunakwenda nayo? na What is the alternative?

William @DSM City!
Kwani wewe Mkuu Wiliam unaishi nchi gani???? Tatizo ulilo liona ni Rushwa tuu, mbona ugomvi mkubwa bungeni juzi ulikuwa wizi wa kutisha ina maana hujaona hiyo umeona rushwa tuu??????? Tatizo kubwa nitofautiane na wewe ni wizi mkubwa unaoitwa ufisadi na dhuluma tena na Mawaziri na viongozi!!!!

Wewe umezaliwa ,umelelewa na umekuwa kwa rushwa
bado unaendeleza rushwa... Kumbuka juzi ulitoa rushwa source wewe mwenyewe
naona hii topic ni ngumu wewe kuizungumzia
ni sawa na kutoa kijiti kwenye jicho la mwenzako na wewe una borit
shikamoo kaka

Smile,

Hata Bibie Sophie Simba alilisema bungeni hili.........Jeetu Patel na kugharamia harusi ya Tingatinga
 
Wewe umezaliwa ,umelelewa na umekuwa kwa rushwa
bado unaendeleza rushwa... Kumbuka juzi ulitoa rushwa source wewe mwenyewe
naona hii topic ni ngumu wewe kuizungumzia
ni sawa na kutoa kijiti kwenye jicho la mwenzako na wewe una borit
shikamoo kaka
Hakika nimependa majibu yako na kwa kuongezea akamuulize Baba yake maana ane yuko kwenye orodha ya mafisadi......
 
Heshima mbele sana Great Thinkers:-

- Sio siri kwamba Tanzania, tunasumbuliwa sana na tatizo moja sugu kuliko yote nalo ni tatizo la Rushwa. Miaka nenda miaka rudi tunahangaika pale pale na infact ndio kwanza hili tatizo linazidi kushamiri, I mean how did we get here na hili tatizo?

- Nimesikia viongozi wengi tena kwa miaka mingi sana wakilia sana kuhusu rushwa, lakini sijawahi kusikia wakisema alternative ya rushwa ni nini hasa?

- Wa-Tanzania tufike mahali tujulize tulifikaje hapa na Rushwa, wapi tunakwenda nayo? na What is the alternative?

William @DSM City!
Alternative ni kuwanyonga mafisadi wote akiwemo dingi yako..................
 
Back
Top Bottom