Tanzania & Rushwa: What Is The Alternative?

Kwani wewe Mkuu Wiliam unaishi nchi gani???? Tatizo ulilo liona ni Rushwa tuu, mbona ugomvi mkubwa bungeni juzi ulikuwa wizi wa kutisha ina maana hujaona hiyo umeona rushwa tuu??????? Tatizo kubwa nitofautiane na wewe ni wizi mkubwa unaoitwa ufisadi na dhuluma tena na Mawaziri na viongozi!!!!

- Alternative yake ni nini hasa maana we can talk Rushwa mpaka mwisho wa Dunia, kama hatuongei Alternative tunakuwa tunaimba tu kama Kasuku, what is the tukitoa rushwa tutazibaje hilo pengo?

Willie!
 
no haiwezekani, ngoja nitafute ile thread ya vote of confidence kwa huyu bi Anne, ilianzishwa na prominent member one of those days.

Alisema ''PATACHIMBIKA HAPA'' na HAPAKUCHIMBIKA WALA'' uso wake na roho yake wala havina uhusiano

anne-kilango-nae-akichamgia-suala-la-mafuta.jpg
 
- Alternative yake ni nini hasa maana we can talk Rushwa mpaka mwisho wa Dunia, kama hatuongei Alternative tunakuwa tunaimba tu kama Kasuku, what is the tukitoa rushwa tutazibaje hilo pengo?

Willie!
Soma post namba 8 hiyo ndiyo njia mmbadala...............
 
Alternative ni kuwanyonga mafisadi wote akiwemo dingi yako..................

- Siasa za majina ndio zimelifikisha hili taifa hapa tulipo, sasa ungetegemea Great Thinker aonyeshee mfano wa kufikiria nje ya box la majina wapi, yale yale tu kelele as usual hakuna solution na kwenda kulala, mkuu ongea solution kwa ajili ya the future ya taifa!

Willie!
 
Heshima mbele sana Great Thinkers:-

- Sio siri kwamba Tanzania, tunasumbuliwa sana na tatizo moja sugu kuliko yote nalo ni tatizo la Rushwa. Miaka nenda miaka rudi tunahangaika pale pale na infact ndio kwanza hili tatizo linazidi kushamiri, I mean how did we get here na hili tatizo?

- Nimesikia viongozi wengi tena kwa miaka mingi sana wakilia sana kuhusu rushwa, lakini sijawahi kusikia wakisema alternative ya rushwa ni nini hasa?

- Wa-Tanzania tufike mahali tujulize tulifikaje hapa na Rushwa, wapi tunakwenda nayo? na What is the alternative?

William @DSM City!

Hapo kwenye nyekundu kamuulize Mzee Malecela ni vipi waliianzisha rushwa na kuiacha mpaka imeota miziz, wakati anagombea Urais wa mwaka 2005 na kina Kikwete ni kiasi gani cha Rushwa alipokea na kukitoa ili ashinde uchaguzi wa Urais na akashindwa baada ya vijana kuchachamaa kumtaka Kikwete!

NA hapo kwenye red ya pili

Umesikia WAKILIA au WAKILA Rushwa including mdingi wako! acha KUTUYEYUSHA baada ya kushindwa kule ubunge Africa Mashariki ndio unaiona Rushwa sasa hivi.

hebu toa upp uuzi wako hapa! unatutia hasira na KODI ZETU
 
- Siasa za majina ndio zimelifikisha hili taifa hapa tulipo, sasa ungetegemea Great Thinker aonyeshee mfano wa kufikiria nje ya box la majina wapi, yale yale tu kelele as usual hakuna solution na kwenda kulala, mkuu ongea solution kwa ajili ya the future ya taifa!

Willie!
Siasa za majina ndio zinakufanya hata hapa JF ujulikane kwani baba yako asingekuwa mtu mzito hapa nani angekujua wewe kwanza usingiweza kufurukuta wala hata huko USA usingeenda tena unatakiwa uishukuru rushwa sana ndio iliyokufikisha hapo ulipo
 
dont tell me, hivi "Anne" si ni mpiganaji wetu, anaweza kweli kutoa hiyo kitu, Im shocked!

We uliambiwa na nani Anne ni mpiganaji? yule NI MLA RUSHWA NA MTOA RUSHWA NAMBARI MOJA, angalia gari analotembelea na madhahabu kocho kocho yalomjaa !
 
Siasa za majina ndio zinakufanya hata hapa JF ujulikane kwani baba yako asingekuwa mtu mzito hapa nani angekujua wewe kwanza usingiweza kufurukuta wala hata huko USA usingeenda tena unatakiwa uishukuru rushwa sana ndio iliyokufikisha hapo ulipo

Tena hakuitumia rushwa vizuri akaishia kuwa baharia wa TACOSHILI
 
siasa za majina ndio zinakufanya hata hapa jf ujulikane kwani baba yako asingekuwa mtu mzito hapa nani angekujua wewe kwanza usingiweza kufurukuta wala hata huko usa usingeenda tena unatakiwa uishukuru rushwa sana ndio iliyokufikisha hapo ulipo
hadi fb kaazisha page eti....loh
 
Alisema ''PATACHIMBIKA HAPA'' na HAPAKUCHIMBIKA WALA'' uso wake na roho yake wala havina uhusiano

anne-kilango-nae-akichamgia-suala-la-mafuta.jpg

kelele zote hizi NI HASIRA BAADA YA MUMEWE KUTEMWA! maana alinyang'anywa tonge mdomoni! ni wazi alikuwa ameshaanza kujiita FIRST LADY, MAMBO YALIPOGEUKA AKAWA MSEMAJI MZURI SANA bUNGENI NA KUONESHA UCHUNGU NA NCHI YAKE! LAKINI KUMBE mnafiki mkubwa! mbona hatujasikia kama amesign vote of no confidence anaogpa nini hassa?!!!
 
Back
Top Bottom