Tanzania Presidents: Nyerere, Mwinyi, Mkapa and Kikwete

Nampenda Kikwete jamani, kwa mtu wa watu, kasafiri ma 322 nje ya nchi, kapiga picha na 50 cent, Beckham, Naomi Campbell, Boys to men, Steven seagal e.t.c

Amewahi waalika akina Hashimu Thabeet ikulu, aliwaponda wanafunzi wa kike kwa viherehere vyao hadi kupata mimba e.t.c, he is the best
 
None of the above, wote wabovu ndo wametufikisha hapa, $&#***£¥€! Zao blood fulu

 
Mkapa is the best,tukimuacha Mwl. Nyerere! Hatuwezi kumshindanisha Kikwete na Nyerere,tutakuwa tunamdhalilisha mwl Nyerere! Pia Nyerere kaitoa nchi mbali sana wakati huo technology, miundombinu ilikuwa bado! So tumpe heshima yake mwl Nyerere! Nashauri mwenye hii mada afanye 'editing' yabakie majina ya marais watatu! Mimi naona 1. Ben Mkapa [ Uwanja wa taifa,ndege ya rais,amenunua rada,Mkapa bridge,mtwara - mwanza . 2. 'Chikwete' 3. Mwinyi [ aliliachia taifa mzigo wa madeni,pesa haikuwa na thamani]
 
Mwinyi alienda Shule na alikuwa balozi
.mwinyi alikuwa raisi Wakati wa Clinton computers an technology change .watu Wengi sana walienda USA .He brought really change

Huwa nikisoma post kama hizi nasikitika sana kwa sababu naona utumwa wa fikra bado unaaendelea.Hivi ni lini mtanzania ataacha kumtukuza mzungu na kujenga nchi yake kwa akili zake mwenyewe?
 
Rais bora na makini kwangu mimi atabaki nyerere kwasababu alianzisha mfumo wa kutumia kile tunachozalisha..achana na hawa mafisadi walioifanya tanzania kuwa soko la walanguzi&wanyang'anyi
 
Mkapa is the best,tukimuacha Mwl. Nyerere! Hatuwezi kumshindanisha Kikwete na Nyerere,tutakuwa tunamdhalilisha mwl Nyerere! Pia Nyerere kaitoa nchi mbali sana wakati huo technology, miundombinu ilikuwa bado! So tumpe heshima yake mwl Nyerere! Nashauri mwenye hii mada afanye 'editing' yabakie majina ya marais watatu! Mimi naona 1. Ben Mkapa [ Uwanja wa taifa,ndege ya rais,amenunua rada,Mkapa bridge,mtwara - mwanza . 2. 'Chikwete' 3. Mwinyi [ aliliachia taifa mzigo wa madeni,pesa haikuwa na thamani]

Tatizo la watanzania wengi hawajui kwanini ni maskini..kwaiyo unakuta wengi wanalalamika mara serikali imefanya hivi mara vile,.Uwepo wa miundo mbinu na huduma mbovu ni matokeo ya umaskini..swali linabaki pale pale kwa nini Tanzania ni maskini?
 
mseme yote mmalize lakini JK wa kwanza ndio bora kuliko wote enzi zake kulikuwa hakuna kigogo wote tulisoma shule sawa hosp wote sawa maliasili zilkuwa za wazawa hakuna wa kumfananisha nae bana we mtoe kwenye hiyo orodha wabaki wa3
 
Mwinyi. Hakwenda shule zaidi ya digrii za dini yake. ndo mana alivurunda kila sekta

je nyerere alifanya vyema ???zaidi ya kutulisha YANGA na kuweka watu VIZUIZINI???ndio maana watu wakawa huwezi kuongea wala kulalamika wala kutoa maoni kama ww lei umetoamida hii ungekua ndani UNANYEA DEBE nahakuna hata ndugu yako atakae luhusiwa kukuona mpaka atake yeye jehuyo ndio BORA?????
 
Mkapa alikuwa na cabinet ya wasomi sana na sio wanasiasa.uchumi ulikuwa

na wizi ulikua ndio chanzo cha umasikini waligawa MIGODI yote pamoja na nyumba za SELIKALI MASHILIKA YA UMA NA VIWANDA VYOTE vimegawiwa wakati wa MKAPA pamojana mashamba ya NAFCO nk hapo ndipo tulipo anzia maisha magumu zaidi?ya zaidi....
 
Alikuwa anapunguza big government.nyumba Za serikali kazi kutunza

sikuzote unapokua mloo au FISADI lazima utatoa sababu za KIFISADI ili uhalalishe Ufisadi wako kwani ulikua unatoa pesa mfukiono mwako ku Tunza hizo nyumbaa??? alikua anaona ahibu baadae ambiwe ahame pale SEEVIYOU..ni bahati tungesikia pia IKULU imeuzwa sababu iko BAHARINI KUNANUKA wageni hawawezi fikia pale hizo ndio Lugha za MAFISADI hatushangai kusikia hayo
 
Ukimwondoa Nyerere,Wa mwembechai ndio zaid,mpaka wauza ugoro walimiliki magorofa,Chezea mzee ruksa weye.
 
kwakweli prezidaa niliekuwa ninamkubali na alikuwa ni prezidaa wa ukweli tanzania na sijui kama atatokea mwingine ni BENJAMINI WILLIAM MKAPA kiukweli hakuiongoza nchi kisista duu kama huyu ****** kwanza gepu la msomi na asiyesoma lilionekana na pia alikuwa mkali kwenye mali za selikari na mazuri kuliko yote thamani ya pesa ya Tanzania ilikuwa inaonekana na mfumuko wa bei aliuzuia na hakukuwa na migomo ya ovyo ovyo zaid ya migomo ya wanachuo kikuu. Kwahivyo vyote nitamkumbuka Mkapa kama libya watakavyomkumbuka Gadafi
 
Mwinyi. Hakwenda shule zaidi ya digrii za dini yake. ndo mana alivurunda kila sekta

Hakuna hata mmoja mimi naona nchi hii inajiendesha yenyewe tu haina kiongozi tangu wakoloni walipoondoka. kuna mtu mmoja tu alikuwa chaguo langu lakini ikawa bahati mbaya naye ni EDWARD MORINGE SOKOINE. Huyu angestahili apewe siku maalumu Moringe Day.
 
From spiritual dimension, "Tanganyika"

Tanzania haijawahi kuwa na kiongozi bora tokea mwanzo wake. Hii ni matokeo ya laana ya kumuacha Mungu, Period.

Tanzania ilikabidhiwa kwa shetani baada ya uhuru kwenye lile tendo la kupandisha bendera juu ya mlima Kilimanjaro. Apandacho mtu ndicho huvuna, Ndio maana tupo hapa tulipo leo ni mavuno ya yaliyopandwa na Baba zetu waliotangulia. Tangu tupate uhuru 1961, kiwango cha ubora wa maisha ya mtanganyika kimeshuka sana, umasikini umekithiri, mkandamizo umeongezeka. We were better 50 years back than we are today,niliangalia picha za uhuru through TBC (during 50 yrs celebrations) nikaona jinsi watu walivyo kuwa, walikuwa vizuri na imara kuliko kuliko tulivyo leo. Hatukupata kiongozi mwenye maono ya mbele (visions of the future), si kwa bahati mbaya bali ni Mungu aliwanyima kuona mbele. Karibu wote waliwaza pale walipo ku prove haya angalia Serikali na Muundo wake, angalia Miundo mbinu yetu yaani ni problem, problem problems. Angalia wananchi, asilimia kubwa wana amini uchwawi (shetani kuliko Mungu). Hapakuwepo wa kusimamia ndoto za kuiondoa Tanzania katika umasikini badala yake tumeingia kwenye mtego wa misaada ambao hatutatoka mpaka atokee mtu makini wa kusema basi. Kuna mambo yanayo endelea ambayo hata viongozi wenyewe hawaelewi ni kwa sababu they are all designed and ochestrated behind the scenes and governed by evil principalities and powers (in the spiritual realms). Yapo maswali ambayo viongozi wetu hawana majibu, mfano kuna wakati Rais wetu alijibu kwenye interview kwamba hajui kwa nini Tanzania ni masikini; ni kweli, hakukosea hata kidogo, alisema ukweli ingawa wengi tumlimshangaa. kwani haiingii akilini kwamba pamoja na rasilimali zote zisizoisha tulizonazo ambazo kila mweupe anajichukulia kupeleka kwao, Hajui kwa nini Tanzania ni maskini, ukweli ni kwamba kuna uovu unao fanyika nyuma ya pazia ambao unasababisha tuyaone haya (bacause the truth is evil that is behind the scenes). Ukitazama vizuri katika awamu zote Kiongozi wa awamu moja wapo anapofanya vizuri, basi awamu inayo fuata lazima aharibu fuatilia sequence ya viongozi wetu (we labor in vain). Kumbe badala ya kuwachukia viongozi wetu tungeanza kimchukia aliye nyuma yao kwanza (ambaye ni shetani) na ku deal naye mpk atoke, ndipo tutapata ushindi katika Mungu. Kwa mfano tunapo wasema vibaya, tunalaaniwa licha ya mapungufu yao, kwa sababu imeandika you shall not speak evil of the ruler of thy people, any time you speak evil you invite a curse. Je ni mara ngapi tumewasema vibaya? Tuombee nchi yetu ili pawepo na Mwanga (Nuru).

Ni tanzania hii hii ndio inayolalamikiwa na nchi nyingine kupandikiza viongozi wa ki-shetani kwa mataifa mengine ya afrika wakati ilipokuwa na ajenda iliyoitwa kuzisaidia nchi nyingine za afrika kupata uhuru wake. Kumbe ilikuwa ni agenda ya kishetani, wakati sisi tunajisifu tuliwasaidia wengine kupata uhuru, una yaliyofichika nyuma yake.

leo hii kila mtanzania analalamika, kuanzia viongozi wa ngazi ya juu zaidi (Rais) mpaka wananchi wa kawaida ni malalamiko tu kila kona. Tunaweza kufikiri labda kikija chama kingine ndio kita badilisha maisha haya ya watanzania, hamna kitu.

Hili ndilo tatizo kuu limesababisha haya yote tuyaonayo leo, na halitaondoka hata aje Rais wa Marekani kuongoza hapa Tanzania, bali ni pale watanzania tutakapo amua kumrudia Mungu kwa rehema ya kweli. Maana ndiye pekee anayeweza.
 
Back
Top Bottom