Tanzania Now Faces Sanctions & Diplomatic Crisis Over Iran

Status
Not open for further replies.
Eti tu obey order za president obama... Hawa jamaa wanaishi karne ya ngapi... Ugomvi wao na Iran wa tanzania haihusu tuna uhusiano.mzuri wa kibalozi na inchi nyingi ikiwemo.maadui zao.. Tanzania haifungamani na upande wowote.. Obamas orders my foot
 
Ni vyema watu wakafahamu kwamba kwenye maritime law kuna uhuru wa meli/tanker kujisajili na kupepea bendera ya nchi yeyote.Liberia,Philippines na Panama ni katika nchi zinazoongoza kusajili meli nyingi sana na wanapata mamia ya mamilioni ya dola kutokana na ada za kila mwaka zinazolipwa na meli wanachama.Vilevile inatoa fursa ya ajira kwa mabaharia na maofisa mbalimbali wa meli kutoka nchi inayosajili meli husika.Vile vile ni fursa kwa wakaguzi wa nchi sajili kupata kazi za ukaguzi kwani kila baada ya muda inabidi zikaguliwe na ili kurenew leseni zao.Haya matanker yamesajiliwa na kupewa bendera ya Tanzania katika sheria halali za kimataifa na wala watu wasifikiri labda kuna dili ambalo mheshimiwa raisi wetu amecheza.Hakuna dili lolote ni normal practice ambayo inafanyika dunia nzima.Kikubwa watu wajue kuipa meli flag(flag state) ni process ambayo ofisi ya raisi haiuhusiki hata kidogo.Wanaotoa hizo flag state ni SUMATRA na Zanzibar Maritime Authority.Tujitahidini kufanya utafiti badala ya kukurupuka na kuchafuana bila sababu ya msingi.Ni vema vile vile kujiuliza kama taifa hivi tutaburuzwa mpaka lini na hawa mabeberu.They are only thinking of their business interest in the middle east lakini what about our interest as developing country.Okay tutazifuta meli za Iran basi wao USA wawe tayari kutupa meli zao tuzisajili na kuzipa Flag yetu ili tusipoteze mapato ya kila mwaka na fursa lukuki za ajira,sifikirii kama wataskubali.

Mkuu wacha kuongea bila kufikiria aisee unaweza kutuambia kwamba katika meli hizo za waIran kuna watanzania wameajiriwa??pili kuna mapato yanayoingia serikalini hapo??
Ukipata jibu weka evidence harafu tukurudishe shule upigwe msasa kidogo maana naona siasa iko pembeni!
 
Below is a list of some of the ships that have been renamed:

  1. Davar (previous name): Companion (new name) – Tanzania (country of registration)
  2. Haraz: Freedom – Tanzania
  3. Susangrid: Daisy – Tanzania

 
usibishane nasi. kabishane na wamarekani walioiandika hiyo barua

Inaonekana wengi wameshindwa kuielewa na kuichambua barua hiyo ya marekani kama ni barua kweli na sio vitisho tu. Hebu tujaribu kuitupia macho kidogo.

Ktk jumla ya maneno ya kwenye barua yanasema 'Tanzania must stop' kwahiyo kinachotakiwa ni Tanzania kuacha kama imefanya. Ingawaje haikowazi kwamba hiyo ni amri au ni ombi. Kipengele cha pili ni kile kinachosema 'Tanzania will face threat of sunction or damage its ties with Washington' Hii nayo sio Tanzania tu amby itaathirika na vikwazo hivyo na hadi sasa iliyopo ni shana tu kitu kwamba kitu fulani kimefanyika kama walivyotumia neno accused. Huwezi kumuadhibu mtu yoyote kwa kutumia dhana.

Kuna maswal mengi ya kujadili ktk hili, kwa mfano je sheria inasemaje kuhusu kusajili meli? Baadae kuna ule wasiwasi wa kua Tanzania kwa kufanya hivyo itakua imesaidia Iran neclear enrichment ambayo Iran wenyewe walishaeleza kwamba nuclear yao ni kwa peaceful purpose.

Kinachotakiwa kufahamika ni kwamba Tanzania ni nchi kamili yenye uhru kamili hakuna haja ya kuogopa kama inahisi imefanya kitu ambacho hakiko kinyume na sheria let say International law. Ni vyema wakafahamishwa wowote wale kwamba uhusiano mzuri ni muhimu kwa pande zote na kama ikibidi kua uvunjike kwa sababu ya shaka tu, Tanzania nayo haitakua na choice baadae tuone watajibu nini. Tumeshadanganywa sana tokea vita kuu ya dunia hadi leo Africa haina maendeleo huu ni wakati wa kujaribu plan mbadala kama vile china badala ya kuogopaogopa ambako hakusaidii chichote.

Waelezwe tu kwamba' We are not aware of such activities taking place, even if that was the case, it was within international law boundaries as far we are concerned. We ll look into the matter closely and if we believe that something was wrong we will hold responsilities those responsible. We undestand that our ties are important not only for Tanznaian but for both side, however, we don't believe that such ties can be jeopadise by accusation as your letter suggested. Our believes is that it will unwise to reach such conclusion without enough evidence. Until the whole circumstances serrounnding the episode are clear nothing can be justified. By for now.
 
Eti tu obey order za president obama... Hawa jamaa wanaishi karne ya ngapi... Ugomvi wao na Iran wa tanzania haihusu tuna uhusiano.mzuri wa kibalozi na inchi nyingi ikiwemo.maadui zao.. Tanzania haifungamani na upande wowote.. Obamas orders my foot


Ngoja tuone kama bendera hazishushwi kwenye hizo meli za hao magaid ya nyuklia......muwe mnaacha kujitoa akili wakati mwingine eti mnatetea Iran.
 
walilia sana rais muislam, na kumlaumu nyerere, baadaye wakalazimisha kuwa dhaifu kakomaa.Wapo wapi waliokuwa wanataka post bila uwezo.Hapa bado zenji hawajaingia fikia malengo yao ya kuukataa muungano ili wajilipue katika utumwa hadi mwisho.

Wanadai hatuchaguliwi marafiki, kam rafiki ni shoga au jambazi kuna haja gani ya kutafuta ubingwa wa kuwa rafiki?

Wewe ndio mwenyewe umeona kama ndio umeaandiiika hapa. Sasa haya si makamasi tu. Sioni connection ya Raisi Muislamu na haya makamasi uliyoyaandika.

Unajua misimamo ya mwl Nyerere juu ya kutofungamana na nchi zozote. I hope kama ndio angekuwa anatawala na uone reaction yake katika kadhia hii.
 
Would it not be a good idea for the government to make an official statement on the matter??
 
Kikwete hawezi kukwepa!! Maongezi yake ya siri na makamu wa rais wa Iran, Mohammad Rahim (30/5/2012) tumeishayanasa!!! Muda muafaka ukifika tutayaweka hewani!! Ndiye aliyeruhusu bendera ya Tanzania kutumika!! Tanzania inatia huruma!!! Imeuzwa!!!

Maongezi yao mengine ya siri ni juu ya maandalizi ya mitafaruku ya kidini ili uchaguzi wa mwaka 2015 uvurugwe. Serikali ya Irani imekwisharidhia kufadhili fujo na mitafaruku ya kidini. Iran inaitaka Zanzibar kwa gharama yoyote. Rushwa nono wameahidiwa wanasiasa ili kufumbia macho uamsho!! Poleni watanzania!!! Iwapo ikulu inapinga ijitokeze ili nasi tumwage ukweli wote!!!


542944290.jpg
 
Mmmmm!! ngoma inogile tuone DK kikwete atajibu nini!!!

Inaonekana wengi wameshindwa kuielewa na kuichambua barua hiyo ya marekani kama ni barua kweli na sio vitisho tu. Hebu tujaribu kuitupia macho kidogo.

Ktk jumla ya maneno ya kwenye barua yanasema 'Tanzania must stop' kwahiyo kinachotakiwa ni Tanzania kuacha kama imefanya. Ingawaje haikowazi kwamba hiyo ni amri au ni ombi. Kipengele cha pili ni kile kinachosema 'Tanzania will face threat of sunction or damage its ties with Washington' Hii nayo sio Tanzania tu ambayo itaathirika na vikwazo hivyo na hadi sasa iliyopo ni dhana tu kitu kwamba kitu fulani kimefanyika kama walivyotumia neno accused. Huwezi kumuadhibu mtu yoyote kwa kutumia dhana.

Kuna maswal mengi ya kujadili ktk hili, kwa mfano je sheria inasemaje kuhusu kusajili meli? Baadae kuna ule wasiwasi wa kua Tanzania kwa kufanya hivyo itakua imesaidia Iran neclear enrichment ambayo Iran wenyewe walishaeleza kwamba nuclear yao ni kwa peaceful purpose.

Kinachotakiwa kufahamika ni kwamba Tanzania ni nchi kamili yenye uhuru kamili hakuna haja ya kuogopa, kama inahisi imefanya kitu ambacho hakiko kinyume na sheria let say International law. Ni vyema wakafahamishwa wowote wale kwamba uhusiano mzuri ni muhimu kwa pande zote na kama ikibidi kua uvunjike kwa sababu ya dhana tu, Tanzania nayo haitakua na choice baadae tuone watajibu nini. Tumeshadanganywa sana tokea vita kuu pili ya dunia hadi leo Africa haina maendeleo yoyote, huu ni wakati wa kujaribu plan mbadala kama vile china badala ya kuogopaogopa ambako hakusaidii chichote.

Waelezwe tu kwamba' We are not aware of such activities taking place, even if that was the case, it was within international law boundaries as far we are concerned. We ll look into the matter closely and if we believe that something was wrong we will hold responsilities the part concerned. We undestand that our ties are important not only for Tanznaian but for both side, however, we don't believe that such ties can be jeopadise by accusation as your letter suggested. Our believes is that, it will unwise to reach such conclusion without enough evidences. Until the whole circumstances surrounnding the episode are clear nothing can be justified. By
 
Would it not be a good idea for the government to make an official statement on the matter??
What government! Now that would be a neat trick...like ah, generating animation files from vscript Custom Campaigns! That sure will be the day! This government? You've got to be joking! Truth is we have no government, governments have leaders but we have Pinda oh oops sorry, Kikwete.
 
Kwa Obama wanausemi huu " YOU EITHER JOIN US OR GET THE ****ER OF THE WAY. Ndugu zangu watanzania, nacho taka kuwaeleza Marekani hawanaga blah blaaaah. Kama hii barua imetoka kwao...THEY MEAN IT.
 
Marekani usitupangie marafiki naona humu kuna watumwa wa kiakili wanadhani Marekani wapo kwa ajili ya kutetea wanyonge hawajua kama Marekani yeye pesa ndio kitu cha kwanza...mbona mmekaa kimya Marekani kachukuwa migodi yenu yote kwa mkataba wa miaka 99 kuchimba dhahabu.

Kwa kuwa serikali yako ilimkaribisha mmarekani hadi chumbani na ameshajiona mwenyeji kwa kuwa mnamtegemea yeye na washirika wake,ndo maana ana kiburi,kuhusu mikataba ya uchimbaji wa madini hakujipangia yeye,bali alipewa na serikali LEGELEGE ya chama KIZEMBE chini ya raisi DHAIFU aliyewapa wizara WASHIKAJI zake!
 
Ngoja tuone kama bendera hazishushwi kwenye hizo meli za hao magaid ya nyuklia......muwe mnaacha kujitoa akili wakati mwingine eti mnatetea Iran.

hivi kuna gaidi la nuclear kuliko marekani..?! wao ndio waliwahi kutumia nuclear na kufanya mauaji ya halaiki.. Iran kafanya lini hayo mauaji ya halaiki ...?! nchi ngapi zina nuclear bombs mpaka uwaite iran magaidi wa nuclear ..?
 

Kwahiyo hata watengeneza nuclear tuwasupport.

nchi ngapi zina nuclear na tuna uhusiano nao wa kibalozi ..?! why iran..?! bahati mbaya marekani ndio magaidi wa nuclear .. unakumbuka hiroshima .. mauaji ya halaiki waliyoafanya na kuwapa watu vilema vya maisha vizazi kwa vizazi..
 


Kinachokusumbua wakati mwingine ni ugaidi au gaidi vinaigusa imani yako. Lkn ndio ukweli wenyewe huo ndio ugaidi!

angalia sasa huyu na ubongo wake dhaifu!.. nauliza swali ... unaropokwa na pumba ... pathetic! ..!

 


We unafikiri misaada mingi inayokuja TZ ni ya bure? TZ ni ya tatu ulimwengin kwa kupokea misaada toka nje pamoja na kuwa na raslimali nyingi kuliko nchi nyingi ulimwenguni. JK amekamata mlungula toka kwa waarabu na akakamata toka kwa wazungu; sasa mlungula utatutokea puani sisi wa TZ. TZ ni nchi inayofubgamana na upande wowote wenye hela na unaohitaji rasli mali za TZ. Kazi kwetu!

hiyo misaada yote inatoka marekani..?! vipi wewe ..?
 
Kwa kuwachokoza US na Washirika wake, sasa CCM wanaondoka madarakani mda si mrefu, Chadema jiandaeni kuchukua nchi wakati umewadia. Eeh Mungu watie kiburi Magamba wapuuze onyo la US na UK ili hatimae ukombozi uharakishwe.


Mkuu MotoyaMbongo, hiyo unayosema sidhani kama itawezekana, Kikwete alivyo Dhaifu, hivi ukute tayari ameshanywea kwa US na utasikia huo mkataba na Iran umevunjwa, hata kama ni kwa kuingia hasara ya kuwalipa Iran kwa kuvunja mkataba.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom