Tanzania kama nchi ina haki ya kujichagulia marafiki na maadui. America na Ulaya hawana haki hata chembe ya kutuchagulia marafiki na maadui. Misaada wanayotupatia kamwe isiwe kigezo cha kututawala kwani tukiamua tunaweza kuishi bila kutegemea misaada yao. Tanzania ni taifa huru na hatufungamani na upande wowote. Mungu ibariki Tanzania.
Nakuunga mkono kabisa hawa jamaa hawawezi kutuchagulia marafiki japo hizo pesa wanaozila ni magamba. Zingekuwa zinafanywa kwa ajili ya maendeleo ya watanzania hawa US na UK hana sababu ya kutwambia kitu. Misaada ambayo wamekuwa wakiitoa imesaidia nini kama si wao wamekuwa wanafaidi zaidi kutoka bara la Africa? Sema ni ujinga wa waafrica tu ilikuwa ni muda wetu kuwatoka nakuwa kama Uchina. Sasa hivi mavi ndoo nzima kwasababu hawana say tena kwa uchina. Wakeup Africa achaneni na hawa mabeberu Mungu kishaadhibu