Tanzania Now Faces Sanctions & Diplomatic Crisis Over Iran

Status
Not open for further replies.
Laana za wazee wa africa mashariki, na kuuwa watu ovyo kwa risasi tumeshuhudia sana kwa kipindi hiki, hiyo damu unadhani inapotea hivi hivi tu....
 
Not true Bush family has no any relationship with Barrick gold; he might

know the owner but no part

of owning the company... Prove me wrong!!!
nngu007,
Mzee Bush ni major shareholder katika kampuni ya Barrick. Na kupitia kwake ndivyo Sinclair alivyofanikiwa kuwakutanisha Bush mdogo na Kikwete katika ziara ya pili ya Kikwete hapa Marekani. He owns shares in the company.
 
Ni kama barua imetoka kwa mwanaume aliyeoa anamwandikia hawara yake ambaye naye ameolewa na mwanaume mwingine ila anamwonea wivu pale alipogundua kuwa kuna mtu wa pembeni anatoka naye.
 
Liwalo na liwe

Huu ni upepo tu utapita

hii ni ajali ya kisiasa

Wanaopata mimba ni kiherehere chao

Mh Mnyika ulinena vema JK kweli ni dhaifu,tena sana.piga picha sasa atatua lipi na nani maana kama timu yake ni ya kina mzee wa gombe-nyara ya serikali-wasira,na wengineo kama hao kuna suluhu kweli?
 
Hapo kwenye nyekundu umekurupuka bila kuwa na data kamili.
Howard Berman ni Member of the U.S House of the Representatives from California 28th district. Na pia alishawahi kuwa Mwenyekiti wa House Commitee on Foreign Affairs. Huyu mtu sio Ofisa katika Wizara. Ni mtu Mwenye mamlaka makubwa ya kuandika barua Kama hiyo kwa Bw. Matonya. Ujue mfumo wa siasa wa Marekani kwanza,ndio uandike mada kuhusiana na mambo ya kisiasa ya huko,la sivyo tuhangaike na Nepi sijui Nape hapa Tanzania.

No research No rights to Speak. Umeshapotosha Umma hapo. Rekebisha kauli yako tafadhali.

this shows how much insane you are. huyo jamaa ni member wa bunge dogo la marekani na hata siyo senator halafu anamwandikia barua raisi wa nchi anamchimba mkwala na bado unaona ni vyema tu hivi hapa Tanzania mbunge wa Tz anaweza hata kuonana na obama achana tu na kumwandikia barua.

kubali ukatae Raisi wenu anadharaulika sana pamoja ni kujikomba sana kwa hao wazungu(mzungu worshiper) lakini bado anadharaulika sana
 

we in the Congress would have no choice but to consider whether to continue the range of bi-lateral U.S. programs with Tanzania.

Sincerely,

Howard Berman
Ranking Democrat, House Foreign Affairs Committee
Jamani hii itatusaidia.
Baba Mwanaasha safari zake zitapungua walau kidogo.
Alipiga mkwara ni kama nape wao.
 
Marekani usitupangie marafiki naona humu kuna watumwa wa kiakili wanadhani Marekani wapo kwa ajili ya kutetea wanyonge hawajua kama Marekani yeye pesa ndio kitu cha kwanza...mbona mmekaa kimya Marekani kachukuwa migodi yenu yote kwa mkataba wa miaka 99 kuchimba dhahabu.


Mkuu wewe huijui USA unaleta porojo za bongo! mataifa kama Japan, China, India, Europe n.k yanasalim amri ndo iwe TZ.
Kataeni mengine rakini siyo hilo.
Iran na wauza mafuta wote wameshindwa kubadilisha mafuta yasiuzwe kwa USD pamoja na kwamba ni yao.
Chezea kwingine
 
Nilidhani ni juu ya ulegelege wa serikali,migomo isiyokwisha,au mafisadi na wezi kutokuchukuliwa hatua na serikali iliyopo madarakani,kumbe ni kwa mambo yao binafsi,wapeleke ushoga wao
Washington.
 
Tanzania ni inchi isiyo fungamana na upande wowote! hawa wamerekani wanatakiwa walijue hilo... ukoloni mambo leo ulipitwa na wakati!

Bravo USA-JK asituletee matatizo TZ imesaini mkataba wa kupambana na magaidi kwa nini magaidi watumie bendera yetu nasi tutaonekana tuna-support ugaidi,I support US.
 
Wakuu mambo yanasonga mbele. Mkulu kakaliwa kooni, naona safari za USA zinaota majani. Tumechoka na kodi zetu kutumiwa vibaya, hawakujua JK ni ndumilakuwili? Hataki DIASPORA wale huku na kule wakati yeye anakula na Iran na wamarekani? Tuone sasa nani mwenye nguvu, JK na mafisadi wake au wamarekani.... matonya sijui unanipta na bakuli lako?

********************************************

Dear President Kikwete,
I am writing to express my deep dismay that Tanzania has permitted the National Iranian Tanker Company (NITC), to reflag at least 6 and as many as 10 of its vessels under the Tanzanian ship registry, allowing them to remain under NITC ownership and continuing to transport Iran’s crude oil exports. This action by your government has the effect of assisting the Iranian regime in evading U.S. and EU sanctions and generating additional revenues for its nuclear enrichment and weapons research programs and its support for international terrorism.

It is profoundly disappointing to me to learn that your government has acted in contravention of the broad international coalition that is working together to use peaceful means, including economic sanctions, to change the threatening behavior of the Iranian regime. The decision to accept the re-flagging of NITC vessels casts a shadow over Tanzania’s international reputation.

I respectfully request that Tanzania cancel the re-flagging of the NITC vessels. Given the close and cooperative relationship that our two governments now enjoy, it would be unfortunate if this action were permitted to stand.

It would be preferable that Tanzania take this action of its own accord. However, your government should take note of President Obama’s Executive Order 13608, signed May 1, 2012, which provides for the imposition of sanctions on any entity worldwide, including foreign governments, that assists Iran in evading U.S. sanctions. In my view, reflagging Iranian oil tankers falls within the scope of sanctionable activity under that Executive Order. In addition, if Tanzania were to allow Iranian vessels to remain under Tanzanian registry, we in the Congress would have no choice but to consider whether to continue the range of bi-lateral U.S. programs with Tanzania.

Sincerely,

Howard Berman
Ranking Democrat, House Foreign Affairs Committee

Source
House Foreign Affairs Committee Democrats- Ranking Member Howard Berman

bi-lateral U.S. programs with Tanzania!!!!! Hahahaha nani hapa anafaidika zaidi ? wao wanachukua dhahabu yetu, wanatolea mijichi mafuta na gesi yetu..wacha wasotoe hiyo misaada yao..\
EBOOO kwani mnaogopa vikwazo kwa sababu ya maslahi ya Mabeberu? wao ndio wanafaidi kutoka na rasilimali zetu kuliko misadaa ya CHANDARUA..ebo mbona mnatia aibu? hamjijui wala kujitambua...mnashabikia tu.
Walio sajili ni Zanzibar Maritime Authority na waziri wa zanzibar anaehusika amesha jibu suala hili..ni kwamba kuna ushindani katikA BIASHARA ya kusajili meli duniani na zanzibar wameweza kusajili meli kubwa na kuingiza mapato...
sasa hii ni fitina nyengine ya Tanganyika ya kujaribu kutumia mabeberu kuibana zanziabe kila kona...
lakini waziri wa zanziabr ametoa msimamo ni uchoyo wa kibiashara
 
Tanzania kama nchi ina haki ya kujichagulia marafiki na maadui. America na Ulaya hawana haki hata chembe ya kutuchagulia marafiki na maadui. Misaada wanayotupatia kamwe isiwe kigezo cha kututawala kwani tukiamua tunaweza kuishi bila kutegemea misaada yao. Tanzania ni taifa huru na hatufungamani na upande wowote. Mungu ibariki Tanzania.
Kwanini watz tulipe cost kisa RA, n rafiki yake JK? Tutaamua lini? Acha ndoto ww kama unategemea misaada kuishi kwny nchi hii iliyopaswa kuwa maziwa na asali
 
Marekani usitupangie marafiki naona humu kuna watumwa wa kiakili wanadhani Marekani wapo kwa ajili ya kutetea wanyonge hawajua kama Marekani yeye pesa ndio kitu cha kwanza...mbona mmekaa kimya Marekani kachukuwa migodi yenu yote kwa mkataba wa miaka 99 kuchimba dhahabu.
Mbona mr. dhaifu asiwanyang'anye. Nenda zako huko siku zenu zinahesabika.
 
Not true Bush family has no any relationship with Barrick gold; he might

know the owner but no part

of owning the company... Prove me wrong!!!
George Bush Sr has a stake in Barrick Gold. It goes way back to Nevada mines with Adnan Kashoggi (Barrick Gold Founder). Mambo ya dunia hii ni zaidi ya ujuavyo..mpaka uunganishe Dots ndio utapata picha kamili. Bush family wana utajiri mkubwa sana ..baadhi ya utajiri wao unatoka kwenye migodi yetu. Kwa hiyo usishangae kwa nini mkulu anapenda sana kwenda Marekani.
 
nngu007,
Mzee Bush ni major shareholder katika kampuni ya Barrick. Na kupitia kwake ndivyo Sinclair alivyofanikiwa kuwakutanisha Bush mdogo na Kikwete katika ziara ya pili ya Kikwete hapa Marekani. He owns shares in the company.

Barrick ilikuja wakati wa Mkapa na sio wakati wa Kikwete Mikataba yote Mibovu ilisainiwa wakati wa Utawala wa

Mkapa na si Kikwete
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom