Tanzania ni full Mitumba...........

Makindi N

JF-Expert Member
Mar 14, 2008
1,066
173
Unakuta mtu ni full mitumba, "kawoshi - mtumba, shati, suruali, bukta ya ndani, chupi, soksi, saa, viatu, shoe lace, miwani, cheni, kofia, leso... ni mitumba. Nywele kanyoa kwa mashine ya mtumba. Kalalia shuka ya mitumba, kitanda - mtumba, carpet chumbani mtumba, mto, foronya mitumba. Vitabu - mitumba, kasikiliza radio - mtumba, TV mtumba. Hata hizo radio na TV programs ni mitumba. AC chumbani -mtumba, vyombo vya kupikia - mitumba.....

Mabarabarani magari yaliyojaa ni mitumba, baiskeli, vipuri - mitumba. Barabara zetu za Big G ni mitumba tu. Ndege zetu za abiria - mitumba tu. Umeme tungewahi kidogo kubadilisha sheria zetu tungenunua mitambo ya Dowans - mitumba.

Kumbe ukiangalia kwa jicho la tatu utagundua kwamba kumbe akili zetu ni mitumba, tuna wanasiasa mitumba, misaada tunayopata ni mitumba tu, experts na wasomi wetu ni mitumba tu ya elimu ya nje na wanasiasa wetu. Mitaala yetu mashuleni ni mitumba tu. Yaaani ni mitumba from Dar - Kigoma and from Mara - Mtwara etc.

Ni wapi ambapo Tanzania si mitumba? Matatizo/shida ni sehemu ya shida/matatizo kwa binadamu, lakini kwanini tuendelee kuwa katika dimbwi la starehe kwa maana ya resources tulizonazo (km nchi) lakini ziwe ni chanzo cha Tanzania kuwa mitumba?
 
Pia raisi na serikali yake wote ni mitumba.

unakuta mtu ni full mitumba, "kawoshi - mtumba, shati, suruali, bukta ya ndani, chupi, soksi, saa, viatu, shoe lace, miwani, cheni, kofia, leso... Ni mitumba. Nywele kanyoa kwa mashine ya mtumba. Kalalia shuka ya mitumba, kitanda - mtumba, carpet chumbani mtumba, mto, foronya mitumba. Vitabu - mitumba, kasikiliza radio - mtumba, tv mtumba. Hata hizo radio na tv programs ni mitumba. Ac chumbani -mtumba, vyombo vya kupikia - mitumba.....

Mabarabarani magari yaliyojaa ni mitumba, baiskeli, vipuri - mitumba. Barabara zetu za big g ni mitumba tu. Ndege zetu za abiria - mitumba tu. Umeme tungewahi kidogo kubadilisha sheria zetu tungenunua mitambo ya dowans - mitumba.

Kumbe ukiangalia kwa jicho la tatu utagundua kwamba kumbe akili zetu ni mitumba, tuna wanasiasa mitumba, misaada tunayopata ni mitumba tu, experts na wasomi wetu ni mitumba tu ya elimu ya nje na wanasiasa wetu. Mitaala yetu mashuleni ni mitumba tu. Yaaani ni mitumba from dar - kigoma and from mara - mtwara etc.

Ni wapi ambapo tanzania si mitumba? Matatizo/shida ni sehemu ya shida/matatizo kwa binadamu, lakini kwanini tuendelee kuwa katika dimbwi la starehe kwa maana ya resources tulizonazo (km nchi) lakini ziwe ni chanzo cha tanzania kuwa mitumba?

hadi wewe mwenyewe unatumia mtumba katika kuandika iyo threads..
 
Unakuta mtu ni full mitumba, "kawoshi - mtumba, shati, suruali, bukta ya ndani, chupi, soksi, saa, viatu, shoe lace, miwani, cheni, kofia, leso... ni mitumba. Nywele kanyoa kwa mashine ya mtumba. Kalalia shuka ya mitumba, kitanda - mtumba, carpet chumbani mtumba, mto, foronya mitumba. Vitabu - mitumba, kasikiliza radio - mtumba, TV mtumba. Hata hizo radio na TV programs ni mitumba. AC chumbani -mtumba, vyombo vya kupikia - mitumba.....

Mabarabarani magari yaliyojaa ni mitumba, baiskeli, vipuri - mitumba. Barabara zetu za Big G ni mitumba tu. Ndege zetu za abiria - mitumba tu. Umeme tungewahi kidogo kubadilisha sheria zetu tungenunua mitambo ya Dowans - mitumba.

Kumbe ukiangalia kwa jicho la tatu utagundua kwamba kumbe akili zetu ni mitumba, tuna wanasiasa mitumba, misaada tunayopata ni mitumba tu, experts na wasomi wetu ni mitumba tu ya elimu ya nje na wanasiasa wetu. Mitaala yetu mashuleni ni mitumba tu. Yaaani ni mitumba from Dar - Kigoma and from Mara - Mtwara etc.

Ni wapi ambapo Tanzania si mitumba? Matatizo/shida ni sehemu ya shida/matatizo kwa binadamu, lakini kwanini tuendelee kuwa katika dimbwi la starehe kwa maana ya resources tulizonazo (km nchi) lakini ziwe ni chanzo cha Tanzania kuwa mitumba?

Ukiangalia statistics za supply za magari ya mitumba ya Japan si yote yanakuja Tanzania hata nchi za Ulaya! Sasa mbona thread yako imeishia hewani - hakuna hata chanzo cha mitumba hii?
 
Vicious Circle ya Mitumba. Kutokana na kuwa mitumba, tunachagua viongozi mitumba, wanatuletea mikataba mitumba, tunazidi kuwa mitumba zaidi.
 
Ukiangalia statistics za supply za magari ya mitumba ya Japan si yote yanakuja Tanzania hata nchi za Ulaya! Sasa mbona thread yako imeishia hewani - hakuna hata chanzo cha mitumba hii?

Ni wapi ambapo Tanzania si mitumba? Matatizo/shida ni sehemu ya shida/matatizo kwa binadamu, lakini kwanini tuendelee kuwa katika dimbwi la starehe kwa maana ya resources tulizonazo (km nchi) lakini ziwe ni chanzo cha Tanzania kuwa mitumba? Utakua umenisoma mzee........
 
Babu wa Loliondo dawa zake si mitumba, ni fresh...Babu Dogo wa Mbeya si mitumba, dada wa Tabora si mitumba!! Tunayo ya kujivunia!!
 
nimeipenda avatar yako ya mzee wa caracas...kama haya si mitumba....Amandla
avatar24894_3.gif
 
Nchi haizalishi kitu....unategemea nini..kama ni nguo labda wote wavae khanga na vitenge..
..mtumba ni kile kilichotumika tayari nje ya nchi..sasa kama si mtumba basi ni Mchina

Twafaaaaaaaaaaaaa
 
KILA KITU MITUMBA HADI AVATAR ZA WENGI HAPA TUNAPOJIONA TUNAJUA NI MITUMBA,,,,,KITU KIDOGO KAMA HICHO UNASHINDWA KUBUNI CHAKO,,,,,,,MAJINA NAYO YA WENGI NI MITUMBA HAPA JF,,,MITUMBA KWELI KILAKONA,,KASORO SAFARI NA KILMANJARO NA BALIM BEAR,im proud of it!
 
Unakuta mtu ni full mitumba, "kawoshi - mtumba, shati, suruali, bukta ya ndani, chupi, soksi, saa, viatu, shoe lace, miwani, cheni, kofia, leso... ni mitumba. Nywele kanyoa kwa mashine ya mtumba. Kalalia shuka ya mitumba, kitanda - mtumba, carpet chumbani mtumba, mto, foronya mitumba. Vitabu - mitumba, kasikiliza radio - mtumba, TV mtumba. Hata hizo radio na TV programs ni mitumba. AC chumbani -mtumba, vyombo vya kupikia - mitumba.....

Mabarabarani magari yaliyojaa ni mitumba, baiskeli, vipuri - mitumba. Barabara zetu za Big G ni mitumba tu. Ndege zetu za abiria - mitumba tu. Umeme tungewahi kidogo kubadilisha sheria zetu tungenunua mitambo ya Dowans - mitumba.

Kumbe ukiangalia kwa jicho la tatu utagundua kwamba kumbe akili zetu ni mitumba, tuna wanasiasa mitumba, misaada tunayopata ni mitumba tu, experts na wasomi wetu ni mitumba tu ya elimu ya nje na wanasiasa wetu. Mitaala yetu mashuleni ni mitumba tu. Yaaani ni mitumba from Dar - Kigoma and from Mara - Mtwara etc.

Ni wapi ambapo Tanzania si mitumba? Matatizo/shida ni sehemu ya shida/matatizo kwa binadamu, lakini kwanini tuendelee kuwa katika dimbwi la starehe kwa maana ya resources tulizonazo (km nchi) lakini ziwe ni chanzo cha Tanzania kuwa mitumba?

Hongera sana kwa mtizamo wako, inauma lakini ni kweli, tutarajie nini tukiwa na watawala mitumba?
 
Kuna mtangazaji fulani nilimsikia anaongelea ishu ya mitumba. Ndio wewe nini!
 
Back
Top Bottom