Tanzania (Kilimanjaro Stars) vs Zimbabwe

Tunavuna tulichopanda...Hakuna aliyeomba jua akapewa mvua,hakuna aliyeomba samaki akapewa nyoka.
 
Said Maulid anafanya nini? Angekuwa chipukizi nisingelaumu lakini kwa mkongwe ni upupu kumpanga!
 
Tatizo si kocha...kwa mfumo huu matokeo haya ni sawa.

mkuu how can you say tatizo c kocha wakati selection yake ya wachezai imeegemea upande mmoja hususani nafasi ya beki ili hali tunamabeki wazuri sana katika ligi yetu kuna mdau mmoja alicomenti kuwa kwann kocha hakuchukua walau mchezaji mmoja ktk jkt oljoro ilihali ipo katika kiwango kizuri sana kiuchezaji, akaselect wachezaji kutoka timu ya mkiani kama sio uswahiba ni nn halafu wanawalazimisha watu kuwa wazalendo kumbuka mchezo wa mpira ni burudani so mtu anakwenda uwanjani kuburudika na kushangilia timu anayoipenda
NB kama ww ukikabiziwa timu kama ya brazil ikiwa 'full' utaonekana kocha mzuri
 
mkuu julio hakuna kitu na ndio alikuwa anajifanya mtaalam lakini hamna kitu ngoja aoneshwe kuwa hilo sio taifa cup..
 
tatizo wachezaji wengi ni bangi tu,

kila siku utasikia kocha kocha kocha,mbona hatuvukuzi wachezaji woooooooooooooooooote kuanza upya si ujinga

ni mara ngapi tumebadilisha makocha? na hatubadilishi wachwzaji?

fukuza wachezaji wooooooote tuanze upya
 
Tatizo si kocha...kwa mfumo huu matokeo haya ni sawa.

mkuu mi nipo kinyume na ww makocha wanamatatizo makubwa, walikosea tangu mwanzo wa selection zao za wachezaji huwezi kumwacha mtu kama jonh boko achilia mbali jerr tegete wanaweza wasifanye vizuri sana kwenye mazoezi yao lakini wanajua kujipozisheni kwenye nafasi za kufunga
 
mkuu how can you say tatizo c kocha wakati selection yake ya wachezai imeegemea upande mmoja hususani nafasi ya beki ili hali tunamabeki wazuri sana katika ligi yetu kuna mdau mmoja alicomenti kuwa kwann kocha hakuchukua walau mchezaji mmoja ktk jkt oljoro ilihali ipo katika kiwango kizuri sana kiuchezaji, akaselect wachezaji kutoka timu ya mkiani kama sio uswahiba ni nn halafu wanawalazimisha watu kuwa wazalendo kumbuka mchezo wa mpira ni burudani so mtu anakwenda uwanjani kuburudika na kushangilia timu anayoipenda
NB kama ww ukikabiziwa timu kama ya brazil ikiwa 'full' utaonekana kocha mzuri

Nilihuzunika sana Poulsen aliponyanganywatimu.Niliandika kuwa hawa makocha wetu hawana shule na uwezo wao ni dhaifu.Lakini pia siwezi kuwalaumu kwa sababu hatuna wachezaji kutokana na mfumo mbovu.Ligi ya timu mbili tena ambazo hazina away games(Kweli,Simba na Yanga hawana mechi za ugenini kwa Tanzania hii).
 
Timu imekosa mvuto kabisa,sijui kwa nini hao CECAFA wanatupa uenyeji kila mwaka,haya mashindano yangefanyika nje naamini tungefungwe game zote ,tena si chini ya goli 3
 
Watu huku sumbawanga tunavipaji lakini huwezi sikia kocha kaja kufanya selection.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom