Taswira
JF-Expert Member
- Sep 23, 2012
- 1,198
- 447
Picha:Zainab Chondo
Tume ya vyuo vikuu ( TCU) imetoa tamko la kusimamishwa kwa chuo kilichoanzishwa huko kimara njia ya kwenda Bonyokwa kinachojiita TANZANIA INTERNATIONAL UNIVERSITY . Tume hiyo imesema haijatoa hithibati kwa chuo hicho hivyo kutakiwa kufungwa na kutoa taarifa kwa vyombo vya habari ikiambatana na kutoa mabango yanayotangaza chuo hicho. Picha:Zainab Chondo.
Chanzo ITV habari