Tanzania International University chafungwa rasmi

Taswira

JF-Expert Member
Sep 23, 2012
1,198
447
Picha:Zainab Chondo
Tume ya vyuo vikuu ( TCU) imetoa tamko la kusimamishwa kwa chuo kilichoanzishwa huko kimara njia ya kwenda Bonyokwa kinachojiita TANZANIA INTERNATIONAL UNIVERSITY . Tume hiyo imesema haijatoa hithibati kwa chuo hicho hivyo kutakiwa kufungwa na kutoa taarifa kwa vyombo vya habari ikiambatana na kutoa mabango yanayotangaza chuo hicho. Picha:Zainab Chondo.
Chanzo ITV habari
 
DAAAAHHH ELfu 20 yangu jamani itakuaje ....mbona jamaa walituhakikishia sasa naombeni msaada ...jamaa wameota mbawa na fuba la 20:tape2::tape2::tape2::tape2::tape2::tape2::tape2::shut-mouth::shut-mouth:
 
Tapeli ana njia nyingi za kuibia watu . Kama sikosei kuna wa2 waliapply kaz kwenye hcho chuo na kulazimka ku2ma pesa ya interview. Tunaomba wale waliokitetea kile chuo hapa jf waje tena kujibu hii habari na Dr. Mzava aje pia
 
Nashangaa sana my country,. Mwezi uliopita watu walifanya interview na walilipia TSh 20,000 kila kichwa na waliokuwa shortlisted ni wengi sana zaidi ya watu 150, jee nani anawajibika katika hiliii!!!
 
picha:zainab chondo
tume ya vyuo vikuu ( tcu) imetoa tamko la kusimamishwa kwa chuo kilichoanzishwa huko kimara njia ya kwenda bonyokwa kinachojiita tanzania international university . Tume hiyo imesema haijatoa hithibati kwa chuo hicho hivyo kutakiwa kufungwa na kutoa taarifa kwa vyombo vya habari ikiambatana na kutoa mabango yanayotangaza chuo hicho. Picha:zainab chondo.
Chanzo itv habari
nilisikia kuwa ni chuo cha liziwani k mrisho au?
 
JF ni noma? hapa ndo naamini jf ni moto wa kuotea mbali, kwa kinyumbani (moro fo oria kwacha) kuna watu wanaonaga mbali kweli kweli bwashee walichambua tangazo hawakuishia hapo, wakachambua chuo, wakachambua Dr mzava wakamalizia na eneo chuo kiliko, nilicheka sana na sasa nacheka zaidi maana jf ni satelite la bongo.
 
DAAAAHHH ELfu 20 yangu jamani itakuaje ....mbona jamaa walituhakikishia sasa naombeni msaada ...jamaa wameota mbawa na fuba la 20:tape2::tape2::tape2::tape2::tape2::tape2::tape2::shut-mouth::shut-mouth:

Yni kelele zote zile tulizopiga tuki alert na bado mkajitosa kuhonga??mmh i doubt elimu yako imekusaidiaje if u cant analyze even such simple things!!!
 
Nashangaa sana my country,. Mwezi uliopita watu walifanya interview na walilipia TSh 20,000 kila kichwa na waliokuwa shortlisted ni wengi sana zaidi ya watu 150, jee nani anawajibika katika hiliii!!!

Hahaaaaaaaa,wakome nao,elimu haijawasaidia..ushawah sikia wapi interview unalipia???shame on them,dar they made a quick money from simple minded people who cant analyze simple issues..
 
Hahaaaaaaaa,wakome nao,elimu haijawasaidia..ushawah sikia wapi interview unalipia???shame on them,dar they made a quick money from simple minded people who cant analyze simple issues..

ila hoja ilitetewa sana asee kuhusu ulipiaji wake ila kazi tunayo sana
 
DAAAAHHH ELfu 20 yangu jamani itakuaje ....mbona jamaa walituhakikishia sasa naombeni msaada ...jamaa wameota mbawa na fuba la 20:tape2::tape2::tape2::tape2::tape2::tape2::tape2::shut-mouth::shut-mouth:
hahaaaaa efu 20 yako ndo imeshakwenda jamani
 
Kweli bongo noma. wife alituma application, cha ajabu alitumiwa email ya kutoa elfu 20, na baada ya siku mbili kapigiwa simu usiku saa sita na Dr Mzanva akidai alitaka kumsisitizia kutoa hilo elfu 20 haraka.
Ha ha ha ha ha ................. in fact nilimtukana huyo Dr Mzanva
 
Back
Top Bottom