Jr Xavi Hernandez
Senior Member
- Feb 25, 2022
- 182
- 259
Bongo sijaona mwana Hip hop ambaye anaweza kuflow kama Jose Mtambo. Sijaona. Kama yupo mtaje wa kumshinda Jose Mtambo kwenye flow
#forgive me
#forgive me
Kwanini sasa wa flow kama mtu ambaye amekwama?Bongo sijaona mwana Hip hop ambaye anaweza kuflow kama Jose Mtambo. Sijaona. Kama yupo mtaje wa kumshinda Jose Mtambo kwenye flow
#forgive me
Umenikumbusha Mr. Sahani naye ana midondoko flani hivi ambayo inaendana na huyo mwamba.Dirty Knob
Fid q na killer boi hapo tupo pamojaKimsingi Kila rapa Bongo ana Identity yake ....
Kila mmoja ni bora kwa staili yake.....
Sikiliza hawa watu hapa chini halafu Utakubaliana nami.
Jay moe
Danny Msimamo
Fid Q
Roho Saba
Stereo
One the Incredible
Songa
Maalim Nash Mc emcee pekee mwenye V.V.U Vina Vikali Usipime
Saigon
Balozi Dola
Solo Thang wa Mtazamo nk.
Young Killa
Nitaendelea
Yoh yoh wapi unakwenda, hebu njoo now put your hands upKamwili kembambaa ila ni moja namba...
Fid q ni mzuri kiuandishi yaan ni namba 1 ila flow yake ni mbovu hata 20 bora hayumoKimsingi Kila rapa Bongo ana Identity yake ....
Kila mmoja ni bora kwa staili yake.....
Sikiliza hawa watu hapa chini halafu Utakubaliana nami.
Jay moe
Danny Msimamo
Fid Q
Roho Saba
Stereo
One the Incredible
Songa
Maalim Nash Mc emcee pekee mwenye V.V.U Vina Vikali Usipime
Saigon
Balozi Dola
Solo Thang wa Mtazamo nk.
Young Killa
Nitaendelea