Tanzania hakuna kama Jose Mtambo

Bongo sijaona mwana Hip hop ambaye anaweza kuflow kama Jose Mtambo. Sijaona. Kama yupo mtaje wa kumshinda Jose Mtambo kwenye flow

#forgive me
Kwanini sasa wa flow kama mtu ambaye amekwama?
Pi, kila mmoja ana identity yake, kwanini utake wa flow kama huyo wa kwako?
 
Kimsingi Kila rapa Bongo ana Identity yake ....

Kila mmoja ni bora kwa staili yake.....

Sikiliza hawa watu hapa chini halafu Utakubaliana nami.

Jay moe
Danny Msimamo
Fid Q
Roho Saba
Stereo
One the Incredible
Songa
Maalim Nash Mc emcee pekee mwenye V.V.U Vina Vikali Usipime
Saigon
Balozi Dola
Solo Thang wa Mtazamo nk.
Young Killa


Nitaendelea
 
Kimsingi Kila rapa Bongo ana Identity yake ....

Kila mmoja ni bora kwa staili yake.....

Sikiliza hawa watu hapa chini halafu Utakubaliana nami.

Jay moe
Danny Msimamo
Fid Q
Roho Saba
Stereo
One the Incredible
Songa
Maalim Nash Mc emcee pekee mwenye V.V.U Vina Vikali Usipime
Saigon
Balozi Dola
Solo Thang wa Mtazamo nk.
Young Killa


Nitaendelea
Fid q na killer boi hapo tupo pamoja
 
Kamwili kembambaa ila ni moja namba...
Yoh yoh wapi unakwenda, hebu njoo now put your hands up
Hapana kukaa man, come on now stand up
Tumble away, haha haha danger
Ni ngoma kali, mwenyewe naipenda, naila denda,

Beat inakutega ha! kama duka la mpemba
Rusha mikono man, rusha na miguu ukipenda

Mkanda ukikatika amini ipo suspender
And I like the way wakija, I like the way hata wakienda

Hata wakivaa kanga, kanga bado wananibamba
Nakuwa mkubwa, kama kidole kidole gumba

Kamwili kembamba, ila mi ni namba. (Kubwa)
Mmmh mmh eh mshamba
Kamuulize Anorld mwadai komando mwamba

Yoh man wats up, whats up come on hands up
Mi wa kigambo.ni, ingawa gamba sijaenda
No usiondoke, come back put your hands up... Jos Mtamboo huyo
 
Kimsingi Kila rapa Bongo ana Identity yake ....

Kila mmoja ni bora kwa staili yake.....

Sikiliza hawa watu hapa chini halafu Utakubaliana nami.

Jay moe
Danny Msimamo
Fid Q
Roho Saba
Stereo
One the Incredible
Songa
Maalim Nash Mc emcee pekee mwenye V.V.U Vina Vikali Usipime
Saigon
Balozi Dola
Solo Thang wa Mtazamo nk.
Young Killa


Nitaendelea
Fid q ni mzuri kiuandishi yaan ni namba 1 ila flow yake ni mbovu hata 20 bora hayumo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom