Diamond ndio mfalme wa mziki Tanzania na ndio msanii Bora wa muda wote a.k.a GOAT

gekaboy

Member
Nov 27, 2021
49
103
Kwnn nasema hvyo na kama ukibisha uwe na sabbu, diamond ndio msanii pekee ambaye anaweza kuimba style aina ya moja kweny mziki mfno bolingo, baikoko, hip-hop, normal bongo fleva, amapiano kwa ufupi anabadilika badilika sio stagnant kama wasaniii wengne ni kama msanii anaeweza kuvaa uhusika zaidi ya mmoja kama alivyo kuwa kanumba masikini anafiti , tajiri, mhuni, bwege, comedian

Hicho kitu wasaniii wengi Awana ndio maana diamond ataendelea kuwa juu kila siku na ndio msanii pekee anajulikana uko nje kwa sana japo wengne nao wanajulikan ila kwa sna ni diamond
Kwhyo watanzania tumpe jamaa respect yake wengne hao ni wasaniii wazuri ila tatizo ni stagnant awataki kubadilika
 
🤣🤣

Nyie watu mnachekeshaa.. huu uzi wa ngapi sijui..

Nchi imesimama eehh!
 
Kwnn nasema hvyo na kama ukibisha uwe na sabbu, diamond ndio msanii pekee ambaye anaweza kuimba style aina ya moja kweny mziki mfno bolingo, baikoko, hip-hop, normal bongo fleva, amapiano kwa ufupi anabadilika badilika sio stagnant kama wasaniii wengne ni kama msanii anaeweza kuvaa uhusika zaidi ya mmoja kama alivyo kuwa kanumba masikini anafiti , tajiri, mhuni, bwege, comedian

Hicho kitu wasaniii wengi Awana ndio maana diamond ataendelea kuwa juu kila siku na ndio msanii pekee anajulikana uko nje kwa sana japo wengne nao wanajulikan ila kwa sna ni diamond
Kwhyo watanzania tumpe jamaa respect yake wengne hao ni wasaniii wazuri ila tatizo ni stagnant awataki kubadilika
Haya. Umejiunga 2021 na hii ni post yako ya 26z kanyaga twende kama wewe siyo muhusika mwenye.
Btw nakubaliana kuhusu kujituma kwake na u ubunifu unaomfanya awe relevant consistently.
 
Sasa kaka kijiunga 2021 na hoja yangu zinaingiana vepee
 
Diamond anajua kujibrand ,kutafuta kiki , kuongelewa , ila kwa mziki wapo wasanii wazuri kama yeye hata Hamornize pia anakimbiza, Diamond alichowini kuwa na machawa wengi na vijana wanaopush nyimbo kama wewe iende viral, amewashinda wasanii wengine kuwa na kundi la vijana wanaomsifia kuwa anajua na kusifia kila kitu ili ionekane kizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwnn nasema hvyo na kama ukibisha uwe na sabbu, diamond ndio msanii pekee ambaye anaweza kuimba style aina ya moja kweny mziki mfno bolingo, baikoko, hip-hop, normal bongo fleva, amapiano kwa ufupi anabadilika badilika sio stagnant kama wasaniii wengne ni kama msanii anaeweza kuvaa uhusika zaidi ya mmoja kama alivyo kuwa kanumba masikini anafiti , tajiri, mhuni, bwege, comedian

Hicho kitu wasaniii wengi Awana ndio maana diamond ataendelea kuwa juu kila siku na ndio msanii pekee anajulikana uko nje kwa sana japo wengne nao wanajulikan ila kwa sna ni diamond
Kwhyo watanzania tumpe jamaa respect yake wengne hao ni wasaniii wazuri ila tatizo ni stagnant awataki kubadilika
Vijana wa miaka ya 2000 mna masihara sana.
 
Back
Top Bottom