Tanzania haina upinzani, bali ina "WanaCCM" walioenda vyama vingine kwa kukosa fursa "CCM"

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Habari wana JF!

Nimeandika haya ili kuweka kumbukumbu sawa,Tanzania haijawahi na haitakuwa na wanasiasa wenye itikadi tofauti na ccm kwa muda mrefu sana.

Tumeshuhudia vyama kupokea "wanasiasa" waliotuhumiwa kuhujumu "upinzani"..na kuwapa nafasi ya maamuzi ya teuzi muhimu,tumeshuhudia uteuzi wa Mashinji kuwa katibu mkuu chadema kwa amri ya Luwasa ambaye aliamuru kura ziwe wazi baada ya kugunduwa kuna watu watampinga Mbowe.

Tumeshuhudia jinsi Maalim alivyoingizwa mkenge na "chademaccm"..kuzira uchaguzi....matokeo yake ni kuwa CCM wana ushawishi bunge la JMT na BLWZ hivyo kupitisha maamuzi kwa zaidi ya 2/3.Ngumu kumeza!

"Vinyago" vya CCM ndio vinageresha kuwa vitaishinda CCM!

Vyama vya upinzani vimejaza makanjanja.....ukawa wanafuata sera za kipebari......ila wakitoa hoja bungeni wanashinikiza serikali itoe huduma bure (ujamaa),bure kabisa!

KUB,Mbowe anaamrisha wabunge watoke nje,eti Raisi kajenga barabara badala ya chai na bia?...leo ukiwaambia fulani mwizi,wanasema anaonewa!

Hivi Chadema,mlishajiuliza kuwa huyu "mungu" wa chadema.

Nawwsilisha!
 
Ndugu hiyo saccos ya famili, ukiwa na uthubutu wa kumpinga mbowe utaitwa msaliti pamoja majina yote mabaya watakupa wewe ndio maana anaachwa tu abadili gia angani anavyotaka lkn ndio wanapote taratibu watakaposshituka jahzi litakuwa limeshazama
 
suala la Mbowe kwa kweli uwa nagombana na watu sana, CDM should change mwenyekiti, awekwe mtu mpya sasa
 
Eti wanasema kwa sasa Mbowe ni lazima awe mwenyekiti...sababu chama kichanga!...kwa hiyo hamna mwingine mwenye uwezo kukilea.
 
Habari wana JF!

Nimeandika haya ili kuweka kumbukumbu sawa,Tanzania haijawahi na haitakuwa na wanasiasa wenye itikadi tofauti na ccm kwa muda mrefu sana.

Tumeshuhudia vyama kupokea "wanasiasa" waliotuhumiwa kuhujumu "upinzani"..na kuwapa nafasi ya maamuzi ya teuzi muhimu,tumeshuhudia uteuzi wa Mashinji kuwa katibu mkuu chadema kwa amri ya Luwasa ambaye aliamuru kura ziwe wazi baada ya kugunduwa kuna watu watampinga Mbowe.

Tumeshuhudia jinsi Maalim alivyoingizwa mkenge na "chademaccm"..kuzira uchaguzi....matokeo yake ni kuwa CCM wana ushawishi bunge la JMT na BLWZ hivyo kupitisha maamuzi kwa zaidi ya 2/3.Ngumu kumeza!

"Vinyago" vya CCM ndio vinageresha kuwa vitaishinda CCM!

Vyama vya upinzani vimejaza makanjanja.....ukawa wanafuata sera za kipebari......ila wakitoa hoja bungeni wanashinikiza serikali itoe huduma bure (ujamaa),bure kabisa!

KUB,Mbowe anaamrisha wabunge watoke nje,eti Raisi kajenga barabara badala ya chai na bia?...leo ukiwaambia fulani mwizi,wanasema anaonewa!

Hivi Chadema,mlishajiuliza kuwa huyu "mungu" wa chadema.

Nawwsilisha!
Watanzania wote mindset zetu zimekaa kiccm . Itachukua muda kubadilika.
 
Hakuna chama kinacholeta itikadi mbadala..ukiangalia vyama vyote mrengo wao ni ule wa CCM,ndio maana wanatumia "vinyago"..vya CCM kupambana nayo.
 
Naona vijana Wa Lumumba katika ubora wenu kuna wanachama wengi upinzani ambao awajawahi kuwa ccm kabisa kwenye maisha yao Na bado ni wapinzani kuna viongozi hawajawahi kuwa ccm waliongoza chama cha siasa kama mzee makaidi Mwenyezi Mungu amrehemu Mimi sijawahi kuwa ccm katika maisha yangu na ni mtanzania Wa kawaida naishi maisha yangu vizuri tu
 
Eti wanasema kwa sasa Mbowe ni lazima awe mwenyekiti...sababu chama kichanga!...kwa hiyo hamna mwingine mwenye uwezo kukilea.

Na mnamuogoa Mbowe kama mnavyomuogopa Mtumbua Majipu.Subirini awe Mwenyekiti hizo buku saba zitatumbukia tu maana hakuna jinsi
 
Tatizo la vijana Wa ccm ni kusifia kila kitu hivi mshajiuliza ni chama gani kimeifikisha nchi hapa Tanzania imeongozwa Na chama kimoja mpaka sasa haya majipu ufisadi Na imaskini wote umeletwa Na ccm bado kijana unahamini ccm itakutoa kwenye umaskini ishindwe miaka 50 Na iweze Leo hizo ni ndoto kuiamini ccm
 
Back
Top Bottom