Graduate EQUITY bank anaanza na shilling ngapi!
Mimi npo somewhere 800,000/- gross as Loan Officer,so full majanga mkuu,kinachoniuma ni kodi ya hayo maCCM,bora kujiajiri.
okaay vip TANZANIA POSTAL BANK post ya SALES EXECUTIVE
yan bank nying ni sehem ya kupita tu aise...me unipelek bank...kazi tembo mshahara sisimiz..kuna rafk angu alikimbia dtb...take home 420 no allowance no perdiem

Niliwahi fanya Bank Moja kubwa corporate coloor zao ni blue na nyekundu, jamani kwa miaka miwili sikuwahi kuula perdiem zaidi ya zile nilizopata kwenye training!
Kwa kifupi sikuwahi safiri safari ya kulala nje ya kituo cha kazi.
Ni naungana na mdau aliyesema Bank ni sehemu ya kupiita tu!
Kwa hizo rangi ulizotaja nahisi unaongelea bank bora Tanzania kwa mwaka huu superbrand NMB
kwa nin isiwe Nbc?
Wife anafanya NMB namuona sana karibu kila kitu cha job kwa kina rangi hizo, Uniform Blue, Skafu zake zina blue na nyekundu, akileta kalenda ni mwendo huo huo, sijui kuhusu NBC inawezekana nao but NMB wanatumia sana rangi hizo