hyo ni baclays au standard chattered?Kuna benki moja rangi yake ya kibiashara ni bluu na nyeupe ina asili ya kikaburu makao makuu yake ni pale kona ya kinondoni, teller mwenye bachelor anaanza na gross ya 750,000/-, sales person wa premium yao anaanza na 1,200,000/- gross..ila wana matawi machache kwahyo hata kupata kaz huko ni ngumu kidogo kwa sababu wanaajiri mara chacje sana..afu mabenefit yao ya ukwel sana at least unaweza kuappreciate mtu anaefanya kaz benki ana tofauti..ila benki zingine majanga tu