Tanzania Commercial Banks Salary Scale

iMlimani

Member
Aug 22, 2013
10
0
Hi Wadau,can we share the various salary scales for most commercial Banks in Tanzania,:welcome:
 
Kama ni teller tegemea kuchukua 500k,hapo ni kabla ya makato.
 
Mimi npo somewhere 800,000/- gross as Loan Officer,so full majanga mkuu,kinachoniuma ni kodi ya hayo maCCM,bora kujiajiri.
 
yan bank nying ni sehem ya kupita tu aise...me unipelek bank...kazi tembo mshahara sisimiz..kuna rafk angu alikimbia dtb...take home 420 no allowance no perdiem
 
Niliwahi fanya Bank Moja kubwa corporate coloor zao ni blue na nyekundu, jamani kwa miaka miwili sikuwahi kuula perdiem zaidi ya zile nilizopata kwenye training!

Kwa kifupi sikuwahi safiri safari ya kulala nje ya kituo cha kazi.
Ni naungana na mdau aliyesema Bank ni sehemu ya kupiita tu!
 
Kwa hizo rangi ulizotaja nahisi unaongelea bank bora Tanzania kwa mwaka huu superbrand NMB
 
kwa nin isiwe Nbc?

Wife anafanya NMB namuona sana karibu kila kitu cha job kwa kina rangi hizo, Uniform Blue, Skafu zake zina blue na nyekundu, akileta kalenda ni mwendo huo huo, sijui kuhusu NBC inawezekana nao but NMB wanatumia sana rangi hizo
 
ok,nimekupata mkuu mkata kiu.
 
Wife anafanya NMB namuona sana karibu kila kitu cha job kwa kina rangi hizo, Uniform Blue, Skafu zake zina blue na nyekundu, akileta kalenda ni mwendo huo huo, sijui kuhusu NBC inawezekana nao but NMB wanatumia sana rangi hizo

Mshahara anaopata hauishii kujaza mafuta ya gari shemeji?
 
Wife anafanya NMB namuona sana karibu kila kitu cha job kwa kina rangi hizo, Uniform Blue, Skafu zake zina blue na nyekundu, akileta kalenda ni mwendo huo huo, sijui kuhusu NBC inawezekana nao but NMB wanatumia sana rangi hizo

Nmb nyekundu? May be una colour blindness nmb ni blue na orange na nbc ndo blue na nyekundu kwa ushaidi zaidi omba picha.
 
Niliwahi fanya Bank Moja kubwa corporate coloor zao ni blue na nyekundu, jamani kwa miaka miwili sikuwahi kuula perdiem zaidi ya zile nilizopata kwenye training!

Kwa kifupi sikuwahi safiri safari ya kulala nje ya kituo cha kazi.
Ni naungana na mdau aliyesema Bank ni sehemu ya kupiita tu!

Njoo tuendeshe bodaboda inalipa sana kuliko wafunga tai hao. Bodaboda ndio habari ya mujini, bossman!
 
Kuna benki moja rangi yake ya kibiashara ni bluu na nyeupe ina asili ya kikaburu makao makuu yake ni pale kona ya kinondoni, teller mwenye bachelor anaanza na gross ya 750,000/-, sales person wa premium yao anaanza na 1,200,000/- gross..ila wana matawi machache kwahyo hata kupata kaz huko ni ngumu kidogo kwa sababu wanaajiri mara chacje sana..afu mabenefit yao ya ukwel sana at least unaweza kuappreciate mtu anaefanya kaz benki ana tofauti..ila benki zingine majanga tu
 
Back
Top Bottom