Mlenge
R I P
- Oct 31, 2006
- 2,125
- 2,291
Bandugu,
Ningependa kuburudika na lile tangazo la redioni la 'Mdudu Rushwa'! Pana mdau hapa anayo nakala yake pepe?
Wadaku bin wadakuzi wa mambo wanadai tangazo lile lilipigwa marufuku kwamba ni makufuru kwa tangazo la mdudu rushwa kurushwa hewani kwa vile linasababisha kupanda na kushuka kwa mashinikizo ya damu kwa baadhi ya waungwana.
Yana ukweli hayo?