Beso
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 216
- 59
Wadau kuna tangazo la m pesa linalorushwa redioni ambalo hujaribu kuonyesha binti wa kichanga akijibizana maneno na kijana wa kigosi(kisambaa) hivi kweli ile ni lafudhi ya kisambaa au kipemba?MTAZAMO,tuwe makini kwenye biashara na kuacha ubabaishaji,tuwape kazi wenye kuzijua!