Tangazo la kupotelewa!

Nimetoa taarifa, mwendesha mashtaka akasema kwa mtu mzima kama yule msako rasmi huanza baada baada ya miezi mitano na kabla ya miezi sita. Anaweza kuwa kapotea kwa hiari wanachozuia ni huko alikoenda isije tambuliwa kama ni ndoa halali maana kwa sheria za Tanzania mkiishi kwa miezi sita mnatambuliwa kama wanandoa

Ila kuna shoga angu kasema nimpe wiki moja amalizie shughuli zake anipeleke Sumbawanga

Bado mpaka sasa hivi bila bila!
Ulitoa taarifa polisi lakini?
 
Nachukua fursa hii, kutoa shukrani zangu za dhati kwa waliofanikisha mpotevu kurudi.
Japo hajaripoti nyumbani rasmi yuko anazunguka zunguka kwa marafiki zake, bado shukrani hizi ziwafikie.

Sherehe rasmi ya kumpokea itakuwa ghorofani, TF anza maandalizi.
 
Back
Top Bottom