Tangazo la kupotelewa!

Your my only Big Broda!
Babu hata sijamuona sijui yuko wapi!
Si unajua mambo ya mwisho wa mwezi sitashangaa nikisikia ameshaanza wiki end!!!

ataanza vipi weekend bila mjukuu wake Canta? afu mwisho wa mwezi huu hata haueleweki:A S embarassed::hatari:
 
ataanza vipi weekend bila mjukuu wake Canta? afu mwisho wa mwezi huu hata haueleweki:A S embarassed::hatari:
Haa haaa haa,nilifikiri ni kwangu tumkumbe hata kwako!!
Babu ODM ana lundo la wajukuu,kila kona,
Chezea babu,tupo wengi Broda!!!
 
Kitu gan tena Canta.....
Czile semina za mheshimiwa The Boss za namna ya kuhandle small hauc!!
Najua watu wamezimiss si unajua mwisho wa mwezi wanatakiwa kukumbushwa zile RULES wasije wakaharibu na kushindwa kufanya mgawanyo vizuriu wa pato la mwezi!!!!
 
Haa haaa haa,nilifikiri ni kwangu tumkumbe hata kwako!!
Babu ODM ana lundo la wajukuu,kila kona,
Chezea babu,tupo wengi Broda!!!

ngoja nimtafute,....lakini hata kama ana lundo, anakuwepo mmoja tu wa kumpelekea ugoro....dah:A S-rap::thinking::angry:
 
Czile semina za mheshimiwa The Boss za namna ya kuhandle small hauc!!
Najua watu wamezimiss si unajua mwisho wa mwezi wanatakiwa kukumbushwa zile RULES wasije wakaharibu na kushindwa kufanya mgawanyo vizuriu wa pato la mwezi!!!!

aah.zile mbona watu walishasave na kuprint...sa ivi full kuhandle with care...thats all what is needed....umenisoma eeh :poa
 
Wako pamoja na Dar es salaam wanakula upepo mwanana wa nchi kavu kuleeeeee mhhhhh sijui kunaitwaje vile!
 
Back
Top Bottom