Tangazo La Coca-Cola Ni Tusi Kwa WaAfrika?

Sumu

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
6,958
6,076
Nimeupenda sana wimbo huu uliotumika kwenye tangazo hili la Coca-Cola na nikathubutu kuutumia kama ringtone ya simu yangu, kwenye kuGoogle kwangu kuhusiana na hili tangazo, kuna watu wanalalamika kutokana na maneno yaliyotumika kwenye video yake, "WHILE THE WORLD WORRIES ABOUT THE FUTURE...... 1 BILLION AFRICANS ARE SHARING A COKE". Inamaana waAfrika tupotupo tuuuu, wenzetu wanawaza kuhusu future/destiny yao sisi tumezubaa hatujali chochote tunaShare chupa ya Coke.

I love you Africa Coca cola ad TV - YouTube
 
Ni maneno ya ukweli! Kuridhika kwetu waffrika tuliowengi hakuhitaji makuu! Kwa hiyo adhaniaye tumetukanwa aichunguze kwanza jamii yetu
 
Nimeupenda sana wimbo huu uliotumika kwenye tangazo hili la Coca-Cola na nikathubutu kuutumia kama ringtone ya simu yangu, kwenye kuGoogle kwangu kuhusiana na hili tangazo, kuna watu wanalalamika kutokana na maneno yaliyotumika kwenye video yake, "WHILE THE WORLD WORRIES ABOUT THE FUTURE...... 1 BILLION AFRICANS ARE SHARING A COKE". Inamaana waAfrika tupotupo tuuuu, wenzetu wanawaza kuhusu future/destiny yao sisi tumezubaa hatujali chochote tunaShare chupa ya Coke.

I love you Africa Coca cola ad TV - YouTube

Kuna hoja ya msingi hapa uliyoiona. Looks we are less concerned with what is happening on earth except drink coke and kucheza ngoma kama walivyokuwa wanatusema wazungu zamani na sasa!!!
 
Nimeupenda sana wimbo huu uliotumika kwenye tangazo hili la Coca-Cola na nikathubutu kuutumia kama ringtone ya simu yangu, kwenye kuGoogle kwangu kuhusiana na hili tangazo, kuna watu wanalalamika kutokana na maneno yaliyotumika kwenye video yake, "WHILE THE WORLD WORRIES ABOUT THE FUTURE...... 1 BILLION AFRICANS ARE SHARING A COKE". Inamaana waAfrika tupotupo tuuuu, wenzetu wanawaza kuhusu future/destiny yao sisi tumezubaa hatujali chochote tunaShare chupa ya Coke.

I love you Africa Coca cola ad TV - YouTube

Huenda chupa hazifanyiwi usafi wa kutosha na 2naendelea kuinywa Mungu anafanya njia ya kutuonyesha!
 
[h=1]Steve Kekana - All I need (Is Right Here in Africa)[/h]http://www.youtube.com/watch?v=PITDaB84BhE
 
Naamini kwa kupitia Jukwaaa hili ujumbe utafika maana tuna mifano halisi kama Tangazo la TRA la kuuzia mashine zao zile walivyokuwa wanamtumia Kikwete, lilizungumzwa hapa hapa na Thanks God nowadays halionekani tena
 
Tena sio tuna share "chupa" ya coke. Tuna share "coke'. Ni matusi makubwa sana.
Tena kwa wewe na wengine kama wewe naona ni sawa sawa kabisaa.
Kama ni tusi halikuhusu wewe.
Waache wengine walalamike coz hili tangazo limesema ukweli juu yako.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ahsante, kwani Mwaafrika ni mimi tu humu, wewe haumo! kwi kwi kwi teh teh teh !
 
Sioni tatizo na wimbo. If anything it celebrates/assets our Africaness by saying i am African and proud to be African. At times when western economies are stagnating, african economies are registering double digit growth. Surely we can sit back and enjoy a coke.
 
Watu wanahangaika kukabiliana na magumu ya maisha, sisi Waafrika habari hatunaa, 'tunapongezana' kwa soda
 
Mswahili kwa manung'uniko, sasa hapo tumeonewa ktk lipi? Wangesema wazungu wanshare coke, bado mngelalama tumedharauliwa kuwa hatuwezi kununua coke.

Kama sisi ndio wananchi, kikwete acha awe rais wetu
 
Back
Top Bottom