sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,847
yani unauliza mshahara sasa hivi....?Kaka kwa bachelor mshahara sh ngapi? Kama inawezekana kusema lakini.
yani unauliza mshahara sasa hivi....?Kaka kwa bachelor mshahara sh ngapi? Kama inawezekana kusema lakini.
Asile rushwa ataishi wapi na wanavyopenda pombe
Mkuu tunaenda??
Mkuu kigezo namba 3 kinabana
Hicho kweli huna namna mkuu.ila kisingebana ungejitosa??
mkuu lazima uende lindo kwanza hata kama una degree then ndo upendekezwe kwenda kuchukua nyota kurasini after three years.
vijana fursa hizo
nimeachana na mtu,ninaempenda sababu ya lindo/doria
........
Yaaani asubuhi hadi saa saba mchana kazini km kawa,hasa huenda mahakaman,eti anapewa mahabusu awapeleke mahakaman.
Halafu saa kumi na mbili jioni anaenda doria hadi saa sita za usiku,ndio maisha yake kila siku likizo ni baada ya miaka mitatu.
Nimeachia ngoma ichezwe na wengine
Naomba kujua: hivi waliomaliza chuo mwaka wa masomo 2013/14 tayari washapata vyeti?
Potoshaneni...wengi husema hivo but ushahidi hawana, akiingia huku ukimuuliza vipi unasemaje kuhusu jeshi la polisi, utasikia "aah nilikuwa nasikia mengi kumbe daah ni hulka yamtu binafsi"
I declare interest..binafsi niaskari but sijawahi kupokea rushwa (maana baadhi ya askari haombi rushwa..hupokea). Nipo ofisini nafanya sehem yajukumu langu narudi kwangu. Nmefanya pia kazi za kusimama point na kuznguka na pikipiki...kupokea rushwa ni hulka ya mtu mmoja mmoja sio woote, kama ilivyo sekta zingine kama ardhi na nyumba,mahakama,ugavi,tra au bandari, kuna rushwa kubwa
mmno huko. Over!
Yangu macho niko na masika 26
Kama una professional tajwa nakushauri uapply...usipuuze plz, mradi una dhamira ya dhati.
Km vp unajitoa ufaham tu hata km una 26 unaapply tu
Kama una professional tajwa nakushauri uapply...usipuuze plz, mradi una dhamira ya dhati.