Tangazo la ajira Jeshi la Polisi 2014/2015

Potoshaneni...wengi husema hivo but ushahidi hawana, akiingia huku ukimuuliza vipi unasemaje kuhusu jeshi la polisi, utasikia "aah nilikuwa nasikia mengi kumbe daah ni hulka yamtu binafsi"
I declare interest..binafsi niaskari but sijawahi kupokea rushwa (maana baadhi ya askari haombi rushwa..hupokea). Nipo ofisini nafanya sehem yajukumu langu narudi kwangu. Nmefanya pia kazi za kusimama point na kuznguka na pikipiki...kupokea rushwa ni hulka ya mtu mmoja mmoja sio woote, kama ilivyo sekta zingine kama ardhi na nyumba,mahakama,ugavi,tra au bandari, kuna rushwa kubwa
mmno huko. Over!
 
mkuu lazima uende lindo kwanza hata kama una degree then ndo upendekezwe kwenda kuchukua nyota kurasini after three years.

vijana fursa hizo

Hilo lindo linakuaje tena wakati mtu una degree yako
 
Jamani hapo labda niweke wazi kidogo kuhusu ishu ya umri katika jeshi la polisi..1.vijana wanaotakiwa ni kuanzia miaka 18-25 kama tangazo linavyoonesha kwa kuwa kwa umri wa level iyo bado hawajachangamana sana na mtaani katika kuadapt new behaviours..kwaiyo ndio mana sasa hivi jeshi la polisi limebadilisha mfumo wa kuajiri kwa kufuata watu katika education institutions ili kuweza kuwa na historia nzuri ya waajiriwa wote.2.mtu anapoajiriwa na umri wa level iyo ni kuwa anakuwa hazina ya jeshi kwa muda mrefu mpaka umri wa kustaafu pasipo kuja kukaa muda mfupi kazini.lakini pia mtu wa umri huu bado anafundishika mambo mbalimbali na pia anaweza kusoma fani nyingine ndani ya ajira na kuweza kuwa na muda mrefu wa kulitumikia jeshi ndani ya fani nyingine..Napenda kutoa rai yangu kuwa wale wanaodhani jeshi la polisi sio zuri sio kweli waangie kikubwa ukumbuke kujiendeleza kielimu,nidhamu,na kuzingatia maadili mema ya kazi.kuhusu maslahi sitaki sana maswali mana kazi ya jeshi kwanza inaanzia moyoni na maana kuwa na moyo wa kutumika katika national service..nawatakia kila la heri wale wote watakaochaguliwa kujiunga na jeshi la polisi.kumbuka kuna vitengo vingi sio lazima uende lindo tena kwa wale wenye fani zao mambo sio mabaya.acha kusikiliza maoni na maneno ya mtaani.utafute ukweli.

Duuuh hapo kwenye umri nadhani watanzania tumezoea kudanganyana kiukweli watu wengi waliosoma degree wana over 25 ila watadanganya tu utakuta baba kubwa linakwambia linezaliwa 1990, hapo wange ongeza hadi 28yrs ndo graduates wengi wapo humo
 
Hilo lindo linakuaje tena wakati mtu una degree yako

hata kama ni graduate kwenda uafisa ni baada ya miaka 2 hadi 3,so kipindi hicho huna rank yoyote wewe ni police constable tu kama wengine hivyo shughuli zote za kipolisi lazima ufanye
 
hata kama ni graduate kwenda uafisa ni baada ya miaka 2 hadi 3,so kipindi hicho huna rank yoyote wewe ni police constable tu kama wengine hivyo shughuli zote za kipolisi lazima ufanye

mkuu tutaenda hivyo hivyo?
 
Duuuh hapo kwenye umri nadhani watanzania tumezoea kudanganyana kiukweli watu wengi waliosoma degree wana over 25 ila watadanganya tu utakuta baba kubwa linakwambia linezaliwa 1990, hapo wange ongeza hadi 28yrs ndo graduates wengi wapo humo

umeona eeh?
 
Mshahara ni kufuata elimu yako...na zaidi kuna 15% ya kutumikia profession yako, kuna 15% ya kupanga mitaani kulipia nyumba. Ukija utayajua mengi, hadi wala rushwa utawajua, na utatambua kwanini polisi wanalaumiwa sana lakini wala hawachukii wala kujoshitukia.

We kijana wacha kabisa kuandika vitu vya uongo hapa.
Hakuna Jeshi baya km Polisi Hapa TZ.

Wala Rushwa wakubwa Na pia Wana roho mbaya km Mashetani.

Mi nimeshapigia juju wala rushwa wote. Na atakaeniomba Rushwa nikimpa akala basi ndio mwisho wa kazi yake na Uanamme wake.

Wana laana Polisi
 
Ni kwamba umri unatakiwa ni miaka 18-25 kwa graduates.kumbuka siku hizi watu wengi wanamaliza chuo wakiwa wadogo...namaana kwamba ajira hizi zita favour sana wale waliozaliwa miaka ya 1989-1990's.lakini hii pia inawezekana mtu ambaye alisoma straight bila kurudia darasa..mfano kama ulianzaSTD 1 ukiwa na miaka 7 plus 7 yrs ya primary school plus 6yrs ya sec school na 3 or 4 years ya degree utakuwa na 23 au 24 ambapo ina range na hiyo inayoitajika hapo kwenye ajira.kwa maelezo zaidi tembelea www.policeforce.go.tz...
pale kuna section ya ajira click then soma tangazo kwa ufasaha..then pia kuna form ya ajira ipo pale ni wewe tu ku download na kuprint na kuijaza...kumbuka kosa lolote katika maombi yako yatakwamisha maombi yako ya ajira namaanisha kusahau kuweka document yoyote elekezi.
 
Ni kwamba umri unatakiwa ni miaka 18-25 kwa graduates.kumbuka siku hizi watu wengi wanamaliza chuo wakiwa wadogo...namaana kwamba ajira hizi zita favour sana wale waliozaliwa miaka ya 1989's...kwa maelezo zaidi tembelea www.policeforce.go.tz...
pale kuna section ya ajira click then soma tangazo kwa ufasaha..then pia kuna form ya ajira ipo pale ni wewe tu ku download na kuprint na kuijaza...kumbuka kosa lolote katika maombi yako yatakwamisha maombi yako ya ajira namaanisha kusahau kuweka document yoyote elekezi.

vjana waliomalza mwaka huu karibia wote hawana academic transcript! Vp hapo wanaweza wakatumia provisional results?
 
Makao makuu pia wanatambua kuwa vyeti vya degree havijatoka kwaiyo tumia provisonal results ili ufanye kwanza application..iyo ni reasonable kabisa
 
Potoshaneni...wengi husema hivo but ushahidi hawana, akiingia huku ukimuuliza vipi unasemaje kuhusu jeshi la polisi, utasikia "aah nilikuwa nasikia mengi kumbe daah ni hulka yamtu binafsi"
I declare interest..binafsi niaskari but sijawahi kupokea rushwa (maana baadhi ya askari haombi rushwa..hupokea). Nipo ofisini nafanya sehem yajukumu langu narudi kwangu. Nmefanya pia kazi za kusimama point na kuznguka na pikipiki...kupokea rushwa ni hulka ya mtu mmoja mmoja sio woote, kama ilivyo sekta zingine kama ardhi na nyumba,mahakama,ugavi,tra au bandari, kuna rushwa kubwa
mmno huko. Over!

Poti acha urongo. Yaani ukishajitambulisha tu kwamba wewe ni polisi kila mtu anakuangalia kwa dharau kwa mlivyo lichafua jeshi lenu. Hata polisi akifa kila mtu anasema. NA HAWA NAO WANAKUFAGA ??? sijawahi kuona polisi anae jiheshimu na utawahurumia wakistaafu. yaani wanakuaga taabani kishenzi. No sir. I will never encourage one of mine to join your force.
 
Potoshaneni...wengi husema hivo but ushahidi hawana, akiingia huku ukimuuliza vipi unasemaje kuhusu jeshi la polisi, utasikia "aah nilikuwa nasikia mengi kumbe daah ni hulka yamtu binafsi"
I declare interest..binafsi niaskari but sijawahi kupokea rushwa (maana baadhi ya askari haombi rushwa..hupokea). Nipo ofisini nafanya sehem yajukumu langu narudi kwangu. Nmefanya pia kazi za kusimama point na kuznguka na pikipiki...kupokea rushwa ni hulka ya mtu mmoja mmoja sio woote, kama ilivyo sekta zingine kama ardhi na nyumba,mahakama,ugavi,tra au bandari, kuna rushwa kubwa
mmno huko. Over!

unachokiongea ni kweli ila ni vigumu sana kueleweka na kuaminika. Zaidi ya 90% ya POLISI wanakula rushwa kwahiyo ni vigumu kuwaaminisha WATU kinyume.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom