Potoshaneni...wengi husema hivo but ushahidi hawana, akiingia huku ukimuuliza vipi unasemaje kuhusu jeshi la polisi, utasikia "aah nilikuwa nasikia mengi kumbe daah ni hulka yamtu binafsi"
I declare interest..binafsi niaskari but sijawahi kupokea rushwa (maana baadhi ya askari haombi rushwa..hupokea). Nipo ofisini nafanya sehem yajukumu langu narudi kwangu. Nmefanya pia kazi za kusimama point na kuznguka na pikipiki...kupokea rushwa ni hulka ya mtu mmoja mmoja sio woote, kama ilivyo sekta zingine kama ardhi na nyumba,mahakama,ugavi,tra au bandari, kuna rushwa kubwa
mmno huko. Over!
Mkuu mbona mmetangaza nafasi kiupendeleo?? Maana wengine tumemaliza form Six tukiwa na miaka 23!!
Chuo miaka 3 hapo tayari nina 26 plus kusugua lami miaka 2 now ni 28!!!
Tangazo lenu mnasema lazima usiw above 25!! Huoni mnatoa ajira kiupendeleo poti?