Tangazo kwa wahehe wote

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
Chuo kipya kabisa cha kihehe kimefunguliwa kihesa.
(HEHE SKILLS AND TECHINICAL COLLEGE OF LIFE)
Kinatangaza kozi za mwaka 2011/2012 kama ifuatavyo,
1.Kugema ulanzi miezi 6
2.Kusokota kamba za kujinyonga miezi 9
3.Kuchagua mbwa anaefaa kuliwa na mapishi yake miezi 8
4.Kuongeza hasira miezi 10-12

Atakae jiunga mapema atapewa kozi ya upishi wa mkunungu
pamoja na uoshaji wa mbeta.

Ale asandee
 
Kozi mbili ziongezwe 1= Kujinyonga 2=Kuukwaa ukimwi haraka?
 
Posts zote ziandikwe kwa kihehe, mod: post iliyoandikwa kwa lugha nyingine ifutwe.
 
Haha..ngoja nimshtue shemeji yangu haraka!
NB: kozi ni shilingi ngapi!??
 
Posts zote ziandikwe kwa kihehe, mod: post iliyoandikwa kwa lugha nyingine ifutwe.

Haitakuwa fair..wengine tuna mashemeji wahehe..tukisoma hapa tunapata habari zaidi za kwenda kuwapa!
 
twilumba sana,

wanu vangi, twihuma kuboma, kono situgema ulaasi wala ugiimbi sindi useele nda.

nye wanyalukolo mlibaaha..!
 
Nna mti una matawi imara naukodisha unastahimili hadi kg 400 ila ni "PAY FIRST". Kwa yule atakayeleta watu wawili, atapata ofa ya kujinyonga bure na msosi kabla ya kujinyonga.
 
ino ye ikwimbisa ikosi ye nani huyoo mhatufu wita imbwa nyiisi!
Uli mkotofu hilo na iga maligo makomi kwa vanyidama!
Bite kimbe yiveve mkotofu veh!

Tukutumbika yuveve mwanangisi mdodo veh! Yidada unyoko ifwaaha yeh yeh! Yidadaa kumiita.!
 
Uwiiiiiii nene....umwana wa Sekiwuyo....ung'ina wa Suguyindonya mnyakwidodi.....amaligo igo..
 
mmeanza ukabila eeh..! Ngoja na sie wamatumbi tuje na thread yetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom