Tanesco yatangaza mgawo; kuanza mara moja!

Jamani,

Nimefurahia sana huu mgao. Angalau kwa sisi wengine tutaponea hapo hapo.

Adumu JK, Dr Idrissa hongera sana.

Mgao HOYEEEEEEEEEEEE!

Samahani kwa mliokerwa, Kwa sisi wafanya biashara hii ni golden chance!
 
we endelea kuwatetea tu! Nunueni basi hiyo mitambo ya Dowans yaishe! Taifa zima, kampuni nzima, serikali nzima haina njia nyingine isipokuwa kununua mitambo ya kampuni ya kilaghai! So why don't they just buy them.? Hela si wanazo? Kura si wanazo Bungeni?

Tatizo ni kuwa wanajua hawawezi kununua cha mwizi huku wakijua ni mwizi bila ya kumkamata kwa kuwaibia!

hatutanunua kwa sababu tunawajibika kwa wananchi na wananchi wote wanasiasa kama wewe, wote wanajifanya wanafahamu uhandisi, uhasibu... yaani sisi tumelaaniwa!
 
Jamani,

Nimefurahia sana huu mgao. Angalau kwa sisi wengine tutaponea hapo hapo.

Adumu JK, Dr Idrissa hongera sana.

Mgao HOYEEEEEEEEEEEE!

Samahani kwa mliokerwa, Kwa sisi wafanya biashara hii ni golden chance!

Nitakuletea generator langu najua wewe utakuwa na sehemu ya kupeleka. lina tatizo kidogo sana. ila nakuaminia utanisaidia...

Ahsante mpigie shemeji yako atatuma mtu akuletee!
 
Mgt ya Tanesco inatakiwa kuwajibishwa.
Wanadai mtambo mmoja wa Songas umeharibika, mwingine wa Songas unafanyiwa matengenezo ya kawaida.

Inakuwaje matengenezo ya kawaida yafanyike wakati mtambo mwingine umeharibika? Kwa nini wasisubiri ulioharibika utengenezwe kwanza ndipo hayo matengenezo ya kawaida yafanyike? Hii ingesaidia kupunguza makali ya tatizo.

Nchi imeuzwa. Wanapata wapi ujasiri wa kufanya haya yote?
 
Bora turudi ktk vibatari na chemli tujipange upya.
ikinunuliwa hiyo midowans patakuwa hapatoshi hapa
Msanii,
Nashukuru kwa pendekezo lako la kujipanga upya. Lakini:-
i) Nchi hii ni ya ajabu sana, kama kumbukumbu zangu ni sahihi, Rais mwenyewe kabla kidogo ya mitambo ya Richmond kuingia nchini, alitoa schedule ya kufuta kabisa mgawo na shida ya umeme nchini kwa kutangaza ni mitambo ipi itaanza kuzalisha, ikiwemo na Kinyerezi. Hii ni mara tu baada ya kutoka Marekani. Schedule hiyo iliyotangazwa na Rais, wala siyo Rais, wala Wasemaji wake hakuna aliyeeleza nini kimetokea na kwanini haikutekelezwa kama Rais alivyowatangazia Watanzania, katika Hotuba yake iliyokuwa "live". Kwa bahati mbaya Watanzania wengi hatukumbuki wala kukumbushana yaliyopita. I hope vyombo vya habari vitaweza ku pick up ile hotuba ya Rais na kuwakumbusha Watanzania habari njema aliyotoa Rais ambayo imeishia kuwa ndoto.
ii) Aidha Rais alidanganywa, alipotoshwa mpaka kutoa schedule iliyoonekana ya uhakika. Jambo ambalo lilizidi kujenga imani ya Watanzania kwa Rais. Iwapo alidanganywa, Rais makini angelikwisha kuchukua hatua ya kuwawajibisha wahusika waliompa taarifa potofu. Au, kama kulitokea Tatizo basi Rais, au wasaidizi wake walitakiwa kutoa ufafanuzi kwa Watanzania kuwa schedule aliyotoa Rais imekumbana na matatizo na kutoa schedule lingine. Hayo hayakutolewa hadi walipoanza mchakato wa kununua mitambo ya Dowans.
Ni dhahiri kabisa hapa kuna dalili ya wazi au Rais mwenyewe alidanganya, au kulikuwa na uzembe mkubwa wa kuamini Taarifa aliyopewa na hakufuatilia. Let us call a spade a spade at this stage na tusipate kigugumizi kutoa tafsiri ya hali hii ya sasa. Ni wakati sasa wa kudai na kushinikiza uwajibikiaji wa wote waliohusika kutufikisha hali hii.
iii) Taarifa ya Kamati ya Mwakyembe ilikuwa very clear, na kama Serikali ingelikuwa makini, tangu November, 2007 wakati Bunge linapitisha maazimio kutokona na swala la Richmond, leo mitambo ya kufufua umeme ingelikuwa imekwisha kutengenezwa, kama ni lazima kutengenezwa, na ingelikuwa imekwisha kufika nchini na kuwa installed. Ni lazima Rais mwenyewe alieleze Taifa, ni kwanini tahadhari iliyotolewa na Bunge haikutekelezwa na leo nchi nzima inathirika kijamii, kiuchumi kutokana na mgawo ambao wala haukuwa lazima.
iii) Katika hatua ya awali, sielewi ni kwanini Waziri Ngeleja na Dr Rashid hawajawajibika kwa kujiuzulu. Iwapo safari hii hawatawajibika, kuna haja jamii ya Watanzia kuacha kunung'unika, na ichukue hatua kupinga kwa kila njia inayowezekana hali hii ya nchi kuchezewa kwa matakwa ya watu wachache. I seriously believe, the country is in serious trouble.
 
...wizi mtupu
kama wamesema ni saa nne ktk siku ya mgao in real sense piga hesabu ya 4 x 4 - 24 utapata 8 ambapo mtakuwa mnapata umeme kwa saa 8 kwa siku.
Si mlikataa kuwa dowans isinunuliwe? safari hii mtaandamana kwa shinikizo kwamba inunuliwe.
Nchi hii kwa uzalendo wa kifisadi naivulia kofia.

Hesabu yako ya kiajabu kweli. tutakosa umeme masaa 8 , hiyo ni shift nzima ya kazi, ina maana uzalishaji viwandani ndio hivyo tena, ukihesabu kisawa sawa, utakuta mitambo ya Dowans iliyokaa bure ni rahisi kununuwa kuliko ari ya kutoinunuwa.
 
nilijua yatatokea, gafla mgao eti mitambo imezidiwa nguvu.tutapiga kelele weeeeeeeeee
na hakuna jipya litatokea, na mgao utaendelea.mwisho mtanunua hayo ma screpa,
 
Hivi hawa Songas mkataba wao na Tanesco ukoje?.....kuna uwezekano tukauona. Hii ni mara ya pili kunakuwa na mgao kwa sababu either mashine ya Songas imeharibika au ndio hivyo tunaambiwa wanatengeneza mashine.

Sasa hatuna uhakika kama mkataba wa Songas na Tanesco unazungumzia situation kama hii .....na Tanesco huwa wanapata nini kutokana na hitilafu hizi, kwa sababu kama mkataba ungekuwa mzuri na unawabana Songas vilivyo sidhani kama situation kama hii ingeweza kutokea mara ya pili. Kwa lazima najua wangetafuta standby generators kuzuia kujirudia kwa tatizo kama hili. Lakini kwa jinsi ufisadi ulivyo kila kona ya nchi hii inawezekana hata Songas wasipozalisha umeme wataendelea kulipwa tu na Tanesco.
 
Nyie hamtaki.. nilisema Mwezi wa nne watu wakaja juu utadhani nini! Nimesema majenereta yatanunuliwa mtake msitake kwani kuna watu wanadaiwa na lazima walipe milioni 60 si mchezo.. watu hawataki. Na mkigoma mtanyimwa umeme masaa 12 hadi mpige magoti na kukubali kuvunjwa!

Msiwe na shaka.. kesho na Ijumaa nadhani moto wa mapambano unazidi kuwashwa! Maneno ya Mzee Malecela leo yatakuwa yameangukia kwenye sikio lisilosikia! Kama mnataka ile kongwa ya mafisadi ivunjwe ni kuendelea kusimama imara kuipinga Dowans; Kama mmewahi kusikia kuwa nchi imetekwa nyara.. basi ndiyo hivyo.. je mtafanya nini kuigomboa?

Leo wanataka mnunue Dowans.. ili wawape umeme kesho watataka mfanye nini? !!

NO DOWANS, NOT BOWING DOWN!

Mkuu Mzee Mwanakijiji, inaonekana hawa jamaa hawataki kuuachana na mpango wao wa kununua majenereta ya dowans kama ulivyosema. Sasa napendekeza kitu kimoja kwamba, tumuombe Mh Mwakyembe atueleze yale mambo yote ambayo hakuyasema pale bungeni wakati anasoma ile report ya Richmond. Huenda akawa na ushahidi wa kutosha kwamba kikweteo ni muhusika mkuu katika kashifa hiyo ya richmong, na kwamba yeye ni mmoja kati ya ma-share holders wakubwa wa dowans. Mwakyembe akifanya hivi kwa dhati na kwa ushahidi, nina uhakika atauchochea ule moto dhidi ya ufisadi aliouwasha kwa watanzania siku ile ya riport yake bungeni. Naamini hili litasaidia kuiangusha seri-kale ya mkulu sasa na hata milele kwani mjadala wote wa ufisadi sasa utakuwa unamlenga yeye peke yake kama kiini cha ufisadi taanzania!

Kwa kifupi ni kwamba, mashambulizi yote ya ufisadi inabidi sasa tuyaelekeze kwa mkulu wa kaya kwani imethibitika kwamba yeye ndiye kinara na ngome kuu ya mafisadi, ndiyo maana hayatishiki kwa lolote! Tukishambomoa huyu kinara na mkuu wa mafisadi tanzonia basi na hao mafisadi wadogo watanyauka mara moja na hapo tutakuwa tumevishinda vita vikuu tati yetu na mafisadi wa nchi hiii!

Nawakilisha Wakuu wana JF...........
 
Msanii,
Nashukuru kwa pendekezo lako la kujipanga upya. Lakini:-
i) Nchi hii ni ya ajabu sana, kama kumbukumbu zangu ni sahihi, Rais mwenyewe kabla kidogo ya mitambo ya Richmond kuingia nchini, alitoa schedule ya kufuta kabisa mgawo na shida ya umeme nchini kwa kutangaza ni mitambo ipi itaanza kuzalisha, ikiwemo na Kinyerezi. Hii ni mara tu baada ya kutoka Marekani. Schedule hiyo iliyotangazwa na Rais, wala siyo Rais, wala Wasemaji wake hakuna aliyeeleza nini kimetokea na kwanini haikutekelezwa kama Rais alivyowatangazia Watanzania, katika Hotuba yake iliyokuwa "live". Kwa bahati mbaya Watanzania wengi hatukumbuki wala kukumbushana yaliyopita. I hope vyombo vya habari vitaweza ku pick up ile hotuba ya Rais na kuwakumbusha Watanzania habari njema aliyotoa Rais ambayo imeishia kuwa ndoto.
ii) Aidha Rais alidanganywa, alipotoshwa mpaka kutoa schedule iliyoonekana ya uhakika. Jambo ambalo lilizidi kujenga imani ya Watanzania kwa Rais. Iwapo alidanganywa, Rais makini angelikwisha kuchukua hatua ya kuwawajibisha wahusika waliompa taarifa potofu. Au, kama kulitokea Tatizo basi Rais, au wasaidizi wake walitakiwa kutoa ufafanuzi kwa Watanzania kuwa schedule aliyotoa Rais imekumbana na matatizo na kutoa schedule lingine. Hayo hayakutolewa hadi walipoanza mchakato wa kununua mitambo ya Dowans.
Ni dhahiri kabisa hapa kuna dalili ya wazi au Rais mwenyewe alidanganya, au kulikuwa na uzembe mkubwa wa kuamini Taarifa aliyopewa na hakufuatilia. Let us call a spade a spade at this stage na tusipate kigugumizi kutoa tafsiri ya hali hii ya sasa. Ni wakati sasa wa kudai na kushinikiza uwajibikiaji wa wote waliohusika kutufikisha hali hii.
iii) Taarifa ya Kamati ya Mwakyembe ilikuwa very clear, na kama Serikali ingelikuwa makini, tangu November, 2007 wakati Bunge linapitisha maazimio kutokona na swala la Richmond, leo mitambo ya kufufua umeme ingelikuwa imekwisha kutengenezwa, kama ni lazima kutengenezwa, na ingelikuwa imekwisha kufika nchini na kuwa installed. Ni lazima Rais mwenyewe alieleze Taifa, ni kwanini tahadhari iliyotolewa na Bunge haikutekelezwa na leo nchi nzima inathirika kijamii, kiuchumi kutokana na mgawo ambao wala haukuwa lazima.
iii) Katika hatua ya awali, sielewi ni kwanini Waziri Ngeleja na Dr Rashid hawajawajibika kwa kujiuzulu. Iwapo safari hii hawatawajibika, kuna haja jamii ya Watanzia kuacha kunung'unika, na ichukue hatua kupinga kwa kila njia inayowezekana hali hii ya nchi kuchezewa kwa matakwa ya watu wachache. I seriously believe, the country is in serious trouble.

Hivi nyinyi pale bungeni huwa mnafanya nini zaidi ya mchezo wa kuigiza? IPTL mnakubali inunuliwe, Dowans mnakataa, matatizo mnayaona kila siku, lakini kila kitu afanye Rais, hata kutatuwa matatizo ya umeme ni kazi ya Rais? nyinyi mshaona tatizo, mnaishia tumetowa pendekezo, hilo pendekezo lenu litasaidia nini? mapendekezo mangapi mmeshatowa ambayo hayana tija yoyote?

Kazi yenu kuongea na kujijengea umaarufu na wengine toka bunge lianze kurushwa live tumeona kuwa ni ma-actor wazuri. Ni wakati wabunge ma-actor wa Tanzania mujiingize kwenye kucheza filamu, mtasaidia sana katika kukuza soko la filamu za Tanzania.

Hamna lolote zaidi ya kupayuka na kuigiza.

Hivi ni lini mtaacha fikra za kulaumu na kutaka kufanyiwa, kufanyiwa, kufanyiwa na kusema, kusema, kusema? Sijawaona mkijitapa kuwa tumefanya, tumefanya, tumefanya! afadhali hata ya Mwakyembe alipoona kuna tatizo la umeme akajitafutia ulaji wa kutafuta makampuni ya kuzalisha umeme wa upepo.
 
You are very right Dr. Slaa, and I think we tanzanians have to seriousely start forcing some of our leaders to resign!
 
Huu ni mlango wa nyuma wa kununua mitambo ya dowans, Naamini hata kama tutanunua hiyo mitambo kwa sasa c kwamba tatizo limeisha wala nini!! Kwa hiyo ni bora kukaa kwenye giza kuliko kuwaacha watu wachache wakijinufaisha wenyewe. Tuendelee kupinga ununuzi wa mitambo hii hata kwa garama zetu wenyewe.
 
Msanii,
Nashukuru kwa pendekezo lako la kujipanga upya. Lakini:-
i) Nchi hii ni ya ajabu sana, kama kumbukumbu zangu ni sahihi, Rais mwenyewe kabla kidogo ya mitambo ya Richmond kuingia nchini, alitoa schedule ya kufuta kabisa mgawo na shida ya umeme nchini kwa kutangaza ni mitambo ipi itaanza kuzalisha, ikiwemo na Kinyerezi. Hii ni mara tu baada ya kutoka Marekani. Schedule hiyo iliyotangazwa na Rais, wala siyo Rais, wala Wasemaji wake hakuna aliyeeleza nini kimetokea na kwanini haikutekelezwa kama Rais alivyowatangazia Watanzania, katika Hotuba yake iliyokuwa "live". Kwa bahati mbaya Watanzania wengi hatukumbuki wala kukumbushana yaliyopita. I hope vyombo vya habari vitaweza ku pick up ile hotuba ya Rais na kuwakumbusha Watanzania habari njema aliyotoa Rais ambayo imeishia kuwa ndoto.
ii) Aidha Rais alidanganywa, alipotoshwa mpaka kutoa schedule iliyoonekana ya uhakika. Jambo ambalo lilizidi kujenga imani ya Watanzania kwa Rais. Iwapo alidanganywa, Rais makini angelikwisha kuchukua hatua ya kuwawajibisha wahusika waliompa taarifa potofu. Au, kama kulitokea Tatizo basi Rais, au wasaidizi wake walitakiwa kutoa ufafanuzi kwa Watanzania kuwa schedule aliyotoa Rais imekumbana na matatizo na kutoa schedule lingine. Hayo hayakutolewa hadi walipoanza mchakato wa kununua mitambo ya Dowans.
Ni dhahiri kabisa hapa kuna dalili ya wazi au Rais mwenyewe alidanganya, au kulikuwa na uzembe mkubwa wa kuamini Taarifa aliyopewa na hakufuatilia. Let us call a spade a spade at this stage na tusipate kigugumizi kutoa tafsiri ya hali hii ya sasa. Ni wakati sasa wa kudai na kushinikiza uwajibikiaji wa wote waliohusika kutufikisha hali hii.
iii) Taarifa ya Kamati ya Mwakyembe ilikuwa very clear, na kama Serikali ingelikuwa makini, tangu November, 2007 wakati Bunge linapitisha maazimio kutokona na swala la Richmond, leo mitambo ya kufufua umeme ingelikuwa imekwisha kutengenezwa, kama ni lazima kutengenezwa, na ingelikuwa imekwisha kufika nchini na kuwa installed. Ni lazima Rais mwenyewe alieleze Taifa, ni kwanini tahadhari iliyotolewa na Bunge haikutekelezwa na leo nchi nzima inathirika kijamii, kiuchumi kutokana na mgawo ambao wala haukuwa lazima.
iii) Katika hatua ya awali, sielewi ni kwanini Waziri Ngeleja na Dr Rashid hawajawajibika kwa kujiuzulu. Iwapo safari hii hawatawajibika, kuna haja jamii ya Watanzia kuacha kunung'unika, na ichukue hatua kupinga kwa kila njia inayowezekana hali hii ya nchi kuchezewa kwa matakwa ya watu wachache. I seriously believe, the country is in serious trouble.
..Dr. Nimekusoma vyema nashukuru kwa kunitoa tongotongo, nakumbuka ni kweli Rais alitangaza mwisho wa mgao na alianisha mipango enedelvu (miujiza) ambapo mpaka leo hakuna utekelezaji wake. Pia mipango mingi ilibuniwa kwa minajili ya kuombea kura tu wala si chochote ndiyo maana kulikuwa na ahadi lukuki ambazo utekelezaji wake ni mgumu au hautekelezeki kamwe. Nachelea kusema kuwa Rais alisaidiwa na wasaidizi wake kuudanganya umma kuhusu mitambo ya umeme. Ninachoshangaa pia ni matamko tata ya serikali kupitia Tanesco na waziri kuhusiana na ununuzi wa Dowans. Hivi nchi hii ina wanasheria kweli? au mwanasheria mkuu wa serikali anafanya kazi gani ktk kuishauri serikali ktk mikataba ya KIHALIFU kama ya IPTL, Dowans n.k.
Kwa nini BUNGE lisiiwajibishe serikali kwa kutotekeleza maazimio ya kamati ya Mwakyembe waliyopitishwa tangu Nov 2007? Hiki ni KIBURI na kulivunjia Bunge heshima ionekane kuwa halina nguvu ya kuisimamia serikali.
Unajua imezoeleka hapa kuwa mawaziri wanajiuzulu kwa kashfa za rushwa tu wala hawajiuzulu kwa utendaji usio makini... hivyo endapo hata mamlaka ya juu haitawawajibisha pia basi ipigwe kura ya kutokuwa na IMANI ili kuondokana na udhia na fedheha hii. SISI wananchi tumechoka na kuchoshwa na uhuni wa watawala ambao hawajali wala kusikia.

Inaudhi sana kuwaza kwamba bado tupo ktk zama za ujima huku kodi zetu zimesomesha wataala mbalimbali wa kutatua matatizo kama haya.
WIZI MTUPU.
 
Hivi nyinyi pale bungeni huwa mnafanya nini zaidi ya mchezo wa kuigiza? IPTL mnakubali inunuliwe, Dowans mnakataa, matatizo mnayaona kila siku, lakini kila kitu afanye Rais, hata kutatuwa matatizo ya umeme ni kazi ya Rais? nyinyi mshaona tatizo, mnaishia tumetowa pendekezo, hilo pendekezo lenu litasaidia nini? mapendekezo mangapi mmeshatowa ambayo hayana tija yoyote?

Kazi yenu kuongea na kujijengea umaarufu na wengine toka bunge lianze kurushwa live tumeona kuwa ni ma-actor wazuri. Ni wakati wabunge ma-actor wa Tanzania mujiingize kwenye kucheza filamu, mtasaidia sana katika kukuza soko la filamu za Tanzania.

Hamna lolote zaidi ya kupayuka na kuigiza.

Hivi ni lini mtaacha fikra za kulaumu na kutaka kufanyiwa, kufanyiwa, kufanyiwa na kusema, kusema, kusema? Sijawaona mkijitapa kuwa tumefanya, tumefanya, tumefanya!
afadhali hata ya Mwakyembe alipoona kuna tatizo la umeme akajitafutia ulaji wa kutafuta makampuni ya kuzalisha umeme wa upepo.
...Wewe umefanya nini?
 
Hivi nyinyi pale bungeni huwa mnafanya nini zaidi ya mchezo wa kuigiza? IPTL mnakubali inunuliwe, Dowans mnakataa, matatizo mnayaona kila siku, lakini kila kitu afanye Rais, hata kutatuwa matatizo ya umeme ni kazi ya Rais? nyinyi mshaona tatizo, mnaishia tumetowa pendekezo, hilo pendekezo lenu litasaidia nini? mapendekezo mangapi mmeshatowa ambayo hayana tija yoyote?

Kazi yenu kuongea na kujijengea umaarufu na wengine toka bunge lianze kurushwa live tumeona kuwa ni ma-actor wazuri. Ni wakati wabunge ma-actor wa Tanzania mujiingize kwenye kucheza filamu, mtasaidia sana katika kukuza soko la filamu za Tanzania.

Hamna lolote zaidi ya kupayuka na kuigiza.

Hivi ni lini mtaacha fikra za kulaumu na kutaka kufanyiwa, kufanyiwa, kufanyiwa na kusema, kusema, kusema? Sijawaona mkijitapa kuwa tumefanya, tumefanya, tumefanya! afadhali hata ya Mwakyembe alipoona kuna tatizo la umeme akajitafutia ulaji wa kutafuta makampuni ya kuzalisha umeme wa upepo.

Ndio maana kuna mihimili mitatu ya dola .....Executive, Legislative na Judiciary ....sasa kama kila mtu akitakiwa afanye la mwenzako kuna lolote kweli litafanyika....kwa maana ya kukosa coordination.

Nchi hii ina matatizo mengi tu na wala sio umeme, inachotakiwa ni Rais na serikali yake kuwa na vision ya kujua tatizo lipi au matatizo yapi yaanze kutatuliwa kabla ya mengine ambalo/ambayo litakuwa/yatakuwa na multiplying effect ya kusababisha matatizo mengine yatatulike kwa urahisi. Badala yake tunaona ni miaka inakwenda mbele lakini hamna kitu cha maana kinafanyika
 
Hesabu yako ya kiajabu kweli. tutakosa umeme masaa 8 , hiyo ni shift nzima ya kazi, ina maana uzalishaji viwandani ndio hivyo tena, ukihesabu kisawa sawa, utakuta mitambo ya Dowans iliyokaa bure ni rahisi kununuwa kuliko ari ya kutoinunuwa.

....Ni hesabu ya kimiujiza. Leo na kesho utanithibitishia kuwa nilikuwa sahihi.
SERIKALI inajua kuwa uzalishaji utapungua lakini wana shida gani? kodi italipwa tu na watatumbua zaidi kwa safari zisizo na tija huku idadi ya vifo vya kina mama na watoto ikiongezeka kwa kasi.
 
Mkuu Mzee Mwanakijiji, inaonekana hawa jamaa hawataki kuuachana na mpango wao wa kununua majenereta ya dowans kama ulivyosema. Sasa napendekeza kitu kimoja kwamba, tumuombe Mh Mwakyembe atueleze yale mambo yote ambayo hakuyasema pale bungeni wakati anasoma ile report ya Richmond. Huenda akawa na ushahidi wa kutosha kwamba kikweteo ni muhusika mkuu katika kashifa hiyo ya richmong, na kwamba yeye ni mmoja kati ya ma-share holders wakubwa wa dowans. Mwakyembe akifanya hivi kwa dhati na kwa ushahidi, nina uhakika atauchochea ule moto dhidi ya ufisadi aliouwasha kwa watanzania siku ile ya riport yake bungeni. Naamini hili litasaidia kuiangusha seri-kale ya mkulu sasa na hata milele kwani mjadala wote wa ufisadi sasa utakuwa unamlenga yeye peke yake kama kiini cha ufisadi taanzania!

Kwa kifupi ni kwamba, mashambulizi yote ya ufisadi inabidi sasa tuyaelekeze kwa mkulu wa kaya kwani imethibitika kwamba yeye ndiye kinara na ngome kuu ya mafisadi, ndiyo maana hayatishiki kwa lolote! Tukishambomoa huyu kinara na mkuu wa mafisadi tanzonia basi na hao mafisadi wadogo watanyauka mara moja na hapo tutakuwa tumevishinda vita vikuu tati yetu na mafisadi wa nchi hiii!

Nawakilisha Wakuu wana JF...........

...Mwanzo wa ngoma lele!
Mwakyembe tupe data hapa
 
Back
Top Bottom