Alikwisha sema grama za kupanda umeme azikwepeki,sasa anawaambia Tanesco kunguza grama za umeme,Hivi kasahau alichokwisha sema.Mbona ssimwelewi jamaaa huyu?
Jk ameishauri tanesco ipunguze gharama za kuunganisha umeme!
na luku je?
Juzi nimelipa 50,000/= nikapata umeme wa 38,000/=...12,000/= imeliwa na tra,rea,ewura,manispaa..unit cost ni 129/=....jamaa anataka gharama za kuunganisha zipunguzwe ili wapatikane wengi zaidi wa kunyonywa