Tanesco punguzeni gharama-jk

Alikwisha sema grama za kupanda umeme azikwepeki,sasa anawaambia Tanesco kunguza grama za umeme,Hivi kasahau alichokwisha sema.Mbona ssimwelewi jamaaa huyu?
 
Raisi tafadhali nakuomba acha unafiki.... Usituhadae kama watoto wadogo
 
Huyu rais kakosa cha kusema kwani swala la umeme ndilo linalolitafuna taifa kwa sasa! Amefika pale wzarani chini yake kuna ofice za tanesco mkoa ilala wafanyakazi wamelazimishwa kumuimbia nyimbo za kinafiki mwisho wayote nae akaona aibu akaamua kuropoka!!
 
Juzi nimelipa 50,000/= nikapata umeme wa 38,000/=...12,000/= imeliwa na tra,rea,ewura,manispaa..unit cost ni 129/=....jamaa anataka gharama za kuunganisha zipunguzwe ili wapatikane wengi zaidi wa kunyonywa
 
JK kama rais ndiye anayemteua mwenyekiti wa bodi hiyo; hivyo kama siyo kupiga siasa anayetakiwa akae naye nakuzungumzia uwezekano wa kupunguza gharama hiyo ni huyo mteule wake na siyo kadamnasi ya watendaji wa TANESCO.
 
Tupo gizani.Hata wakipunguza tutaunganishiwa nini?Kwa hiyo jamaa anatuambia mgao unatokana na gharama za kuunganisha kuwa kubwa!
 
Hivi huyu JK kwa nini asijiunge na ze comedy? Anaonekana atafit sana kuwa comedian.
 
Alikwisha sema grama za kupanda umeme azikwepeki,sasa anawaambia Tanesco kunguza grama za umeme,Hivi kasahau alichokwisha sema.Mbona ssimwelewi jamaaa huyu?

Alisahau kuwa alisha wadanganya kuwa gharama za umeme hazikwepeki.
 
Jk ameishauri tanesco ipunguze gharama za kuunganisha umeme!
na luku je?

Aisee huyu jamaa ni kilaza sijapata kuona yaani ni vituko kila kukicha. Bado sijasahau mabillioni ya Kikwete je yalileta mafanikio gani? Tanzanians we deserve better than this loser. Tunamsubiri sasa aje na alladin na taa ya ajabu.
 
Juzi nimelipa 50,000/= nikapata umeme wa 38,000/=...12,000/= imeliwa na tra,rea,ewura,manispaa..unit cost ni 129/=....jamaa anataka gharama za kuunganisha zipunguzwe ili wapatikane wengi zaidi wa kunyonywa

He, umeibia kimachomacho hivyo ndugu yangu, kwa nini watoze kodi kubwa hivyo kwako peke yako? Au ndo umebebeshwa mzigo wa kulipa deni la Dowans bila kujijua mheshimiwa? Tuwashitukie Tanesco kwa hili.
 
Back
Top Bottom