Tamko la (mewm) kulaani hujuma anazofanyiwa waziri mkuu mstaafu mh Edward Lowasa

Huyo mtu mwanzoni aliomba Mungu amupushe na kikombe hiki,wakati kiuhalisia anakitamani kuliko kitu chochote,akilala akaamka anatamani urais,nadhani anajisemea kimoyomoyo kuwa aghlabu hata akitawala kwa siku 3 tu ikajulikana kuwa alishawahi kuwa rais wa Tanzania inatosha.
Lakini kwa kashfa zilizomsababishia kujiuzulu,hafai kabisa kuwa kioo cha jamii,kwenye nchi ambako hakuna kuangaliana usoni kama China huyu mtu na washirika wake kwenye hujuma zile,wangekuwa walisha nyongwa nakusahaulika hizo ndoto zao na marafiki wao wanaowapigia chapuo zingetimia huko huko ahera.
Eeeh Mungu tuepushe na hili genge la Mafia.

Wanalala wakiwaza watapateje vyeo ili watuibie, sio watuongoze
 
Moja: Kama nyie vidume tajeni majina yenu!
Pili: Kama nyie vidume fanyeni vikao mchana, kufanya usiku ni dalili tosha za woga.
tatu: Aliyesaini waraka huu hajulikani kabisa kabisa nafikiri hata alikotoka!
 
Wanalala wakiwaza watapateje vyeo ili watuibie, sio watuongoze

Naona umeamua kubisha tu, mbona ilo la huo umoja halijasainiwa na katibu wake!
Taarifa iyo ipo kwenye page yake ya facebook pia katika website yake.
Kuna marafiki wa lowassa ila sio huo umoja ulio tajwa hapo. Na unapokazania bwana @Yerickonyerere napata wasiwasi kuwa kuna mkono wa mtu wenye hila mbaya hapaaa
 
Lowasa ana ukurasa wa fb? Hahaa acheni kumlisha maneno, sema maadui zake ndio wenye hizo page
 
Kumbukeni Barua ya Mtumishi wa Mungu Askofu Kak aliyosema kuhusiana na CCM. Mtayaona mengi pengine akili zitawarudia watanzania kwa kuyaona hayo yakitimia.
 
Kumbukeni Barua ya Mtumishi wa Mungu Askofu Kakobe aliyosema kuhusiana na CCM na utwala wake. Mtayaona mengi, pengine akili za watanzania zitawarudia kwa kuyaona hayo yakitimia. Mungu ibariki Tanganyika.
 
Kinyan'ganyiro urais muungano CCM Zanzibar mpo? Hamna lenu Tanganyika,matokea yanaelekea TATU BILA.
 
Kumbukeni Barua ya Mtumishi wa Mungu Askofu Kakobe aliyosema kuhusiana na CCM na utwala wake. Mtayaona mengi, pengine akili za watanzania zitawarudia kwa kuyaona hayo yakitimia. Mungu ibariki Tanganyika.

Hapo naona neno la Kakobe linatimia rasmi
 
Wanahangaika kupambana na Chadema na Ukawa huku kwao kunafuka moshi....kama suala la Lowassa halitaangaliwa kwa umakini na mapema ndani ya CCM, watakaposhtuka muda wa kusuluhisha utakuwa umekwisha.

Waacheni hawa magamba walale usingizi wa pono ili waje kuanza kuvuta shuka wakati kumekucha!!
 
Nilijua kuwa ita backfire soon or later, Sumaye anapiga Kampeni ya Wazi, Membe ndo anatutangazia kuwa anabaraka za Rais, Yule Mnafiki wa Urambo anaendeleza porojo, hadi little suckers wanapiga kampeni! Ila kwa Lowassa chaguo la Wengi WANAMBINYA kwa nguvu zote! Itoshe kusema; Richmond ilikuwa deal la Wazushi wale wale wenye kulamba migongo ya Wamarekani na Sasa wamekuja kuweka mambo sawa WATu Kimya like nothing happen!! Grrrr ... Nani alithubutu kuhoji ziara ya OBAMA pale Ubungo? nini tofauti ya SYMBION na RICHMOND? Kosa la Lowassa ilikuwa kumshauri Rais akatae deal la Richmond na si zaidi ya hapo!!! Muulizeni Mwakyembe na Sitta kosa la Lowassa kama wataweza kuwajibu hadi leo!!! Nchi hii WANAFIKI wa CCM wanaiangamiza ... " Kun faya Kun" Lowassa atakuwa Rais mtake msitake ...
 
Back
Top Bottom