Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,271
Kuna post imeanzishwa humu kuhusu kukanusha habar hio.
Hili hapa ni chapisho la taarifa kukanusha habar hio
Mbona haijasainiwa na El au katibu wake?
Tutaaminije kuwa ni halali?
Kuna post imeanzishwa humu kuhusu kukanusha habar hio.
Hili hapa ni chapisho la taarifa kukanusha habar hio
Huyo mtu mwanzoni aliomba Mungu amupushe na kikombe hiki,wakati kiuhalisia anakitamani kuliko kitu chochote,akilala akaamka anatamani urais,nadhani anajisemea kimoyomoyo kuwa aghlabu hata akitawala kwa siku 3 tu ikajulikana kuwa alishawahi kuwa rais wa Tanzania inatosha.
Lakini kwa kashfa zilizomsababishia kujiuzulu,hafai kabisa kuwa kioo cha jamii,kwenye nchi ambako hakuna kuangaliana usoni kama China huyu mtu na washirika wake kwenye hujuma zile,wangekuwa walisha nyongwa nakusahaulika hizo ndoto zao na marafiki wao wanaowapigia chapuo zingetimia huko huko ahera.
Eeeh Mungu tuepushe na hili genge la Mafia.
Hizo zilikuwa mbinu za team Membe akisaidiwa na Migiro
Wanalala wakiwaza watapateje vyeo ili watuibie, sio watuongoze
Wanalala wakiwaza watapateje vyeo ili watuibie, sio watuongoze
Naona umeamua kubisha tu, mbona ilo la huo umoja halijasainiwa na katibu wake!
Taarifa iyo ipo kwenye page yake ya facebook pia katika website yake.
Kuna marafiki wa lowassa ila sio huo umoja ulio tajwa hapo. Na unapokazania bwana @Yerickonyerere napata wasiwasi kuwa kuna mkono wa mtu wenye hila mbaya hapaaa
nilitarajia YERICKO ungefurahi kusikia mtandao wako wa membe unaendelea na kampeni za siri siri. vipi unalitoleaje kauli
Lowasa ana ukurasa wa fb? Hahaa acheni kumlisha maneno, sema maadui zake ndio wenye hizo page
Yalishaisha kwa sababu deal lilikuwa na Jakaya yumo!! Wanamwonea Edo!! kama kuwajibishwa yule mr kuchekacheka ndiyo stirling wa ule uovu!!Kwani yale mambo ya richmond yaliishia vipi?
Kumbukeni Barua ya Mtumishi wa Mungu Askofu Kakobe aliyosema kuhusiana na CCM na utwala wake. Mtayaona mengi, pengine akili za watanzania zitawarudia kwa kuyaona hayo yakitimia. Mungu ibariki Tanganyika.
Mtandao wangu ni Chadema
Wanahangaika kupambana na Chadema na Ukawa huku kwao kunafuka moshi....kama suala la Lowassa halitaangaliwa kwa umakini na mapema ndani ya CCM, watakaposhtuka muda wa kusuluhisha utakuwa umekwisha.