Dickson Ng'hily
JF-Expert Member
- Oct 22, 2010
- 451
- 485
Aluta Continua....
Me naanza na watu wangu kuwaelimisha....
Me naanza na watu wangu kuwaelimisha....
the people that why i likes CHADEMA
hoja hizi zingetolewa bungeni pengine zingesaidia kuleta muafaka kama chadema wasingesusia bunge
kwa tamko hili maafa makubwa yaja
Ulipopigwa ban JF ndio ukaacha kusoma magazeti, Zitto katoa msimamo mapema kabisa sama hili habari ya hili gazeti....Ikiwa hilo ndiyo tamko la magwanda, ama kweli mna "wasomi" na si wasomi. Hivi kama chama cha upinzani mmekaa haswa mkachemsha vichwa vyenu mkaja na tamko kama hilo? nashindwa kuamini nnayoyasoma kuwa yanatoka kwenye "wasomi". Khaaaa!
Nna uhakika hayo kayaandika Mbowe.
Zitto uko wapi? tazama hawa wenzako wanavyokitia aibu chama ulichokipagania mpaka kwa afya yako. Pole sana Zitto najuwa una kazi kubwa sana, Mwenyeezi Mungu atakulinda na kukusaidia. Sikuwepo kwenye hicho kikao wala sijasikia zaidi ya hayo niliyoyasoma hapo juu, lakini nna uhakika hukutia hata lako moja. Hii si "calibre" yako.
MUSWADA WA KATIBA MPYA-ZITTO KABWE AIONYA SERIKALI
ASEMA BILA MUAFAKA CHAMA CHAKE KITATAFUTA NJIA MBADALA
Waandishi Wetu, Dodoma, Dar
WAKATI mjadala wa Muswada wa Sheria ya Kuunda Katiba Mpya ukizidi kuitikisa Serikali, Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe ameonya kwamba kama suala hilo litachezewa, chama chake kitatafuta njia mbadala kwa wananchi ya kupata Katiba. Mjadala kuhusu muswada huo unakabiliwa na upinzani mkali kutoka ndani na nje ya Bunge na jana wabunge wengi wa CCM waliochangia, waliwashambulia wenzao wa Chadema.
Ikiwa hilo ndiyo tamko la magwanda, ama kweli mna "wasomi" na si wasomi. Hivi kama chama cha upinzani mmekaa haswa mkachemsha vichwa vyenu mkaja na tamko kama hilo? nashindwa kuamini nnayoyasoma kuwa yanatoka kwenye "wasomi". Khaaaa!
Nna uhakika hayo kayaandika Mbowe.
Zitto uko wapi? tazama hawa wenzako wanavyokitia aibu chama ulichokipagania mpaka kwa afya yako. Pole sana Zitto najuwa una kazi kubwa sana, Mwenyeezi Mungu atakulinda na kukusaidia. Sikuwepo kwenye hicho kikao wala sijasikia zaidi ya hayo niliyoyasoma hapo juu, lakini nna uhakika hukutia hata lako moja. Hii si "calibre" yako.
Ulipopigwa ban JF ndio ukaacha kusoma magazeti, Zitto katoa msimamo mapema kabisa sama hili habari ya hili gazeti....
Hivi msomi haswa, anaandika hivi:
"kimepokea na kujadili kwa kina taarifa ya majadiliano"
Hivi magwanda mlikuwa mna "taarifa ya majadiliano"? ndiyo ipi hiyo?
Na hapo ndio sijaenda hata kwenye taarifa. Daaahhh, nawaonea huruma sana, hebu someni vizuri kabla hamjaanza "upiganaji" wenu na mimi. Maana kupigana mimi hamniwezi. Bora tubaki kubishana kwa hoja. Haya niambieni ni ipi hiyo taarifa ya majadiliano?
Hayo yote uliyoyabandika ni maneno ya muandishi hakuna hata sehemu moja aliyom "quote" Zitto. Muandishi ana uhuru wa kutoa maoni yake,
Mimi nnkuhakikishia Zitto hana lake hata moja katika hilo lilibandikwa hapo juu. Hakuna nnakataa lipo "too shallow", Zitto kina chake ni kirefu zaidi ya hivyo.
Pole sana lakini ninakuhurumia sana kwa sababu huwa unalazimisha kuongea hata ambayo hayatumii kichwa ukiambiwa ukweli unalalamika CCM chama cha majambazi na wehu tuHiyo ni "abuse" nna i report, moderators wa JF wachukuwe sheria zinazostahiki.
Tafadhali kama huwezi kujibu hoja zangu nakuomba usinitukane, hunijui sikujui.
Nakumbuka Zitto alishawahi kukuita wewe "Kizabizabina" sasa leo Ndio Nimeamini
B.T.W Gamba Kuu Rostam linaendeleaje?
Hayo yote uliyoyabandika ni maneno ya muandishi hakuna hata sehemu moja aliyom "quote" Zitto. Muandishi ana uhuru wa kutoa maoni yake,
Mimi nna kuhakikishia Zitto hana lake hata moja katika hilo lililobandikwa hapo juu. Hakuna nnakataa, hilo juu hapo lipo "too shallow", Zitto kina chake ni kirefu zaidi ya hivyo.
wewe nae kwani ukiwa kwenye mtandao lazima uandike kwa lugha usiyoijuwa? Ndiyo nini hicho ulichokiandika? Si bora ungeandika kichaga tu, wengi wangekuelewa humu.