FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,872
- 109,182
We jasiri kweli ! Haya niambia unalipwa shilingi ngapi huko kuja kuchafua hewa JF ?
Tafadhali jibu hoja zangu achana na mimi binafsi.
We jasiri kweli ! Haya niambia unalipwa shilingi ngapi huko kuja kuchafua hewa JF ?
Hayo yote uliyoyabandika ni maneno ya muandishi hakuna hata sehemu moja aliyom "quote" Zitto. Muandishi ana uhuru wa kutoa maoni yake,
Mimi nna kuhakikishia Zitto hana lake hata moja katika hilo lililobandikwa hapo juu. Hakuna nnakataa, hilo juu hapo lipo "too shallow", Zitto kina chake ni kirefu zaidi ya hivyo.
Hivi msomi haswa, anaandika hivi:
"kimepokea na kujadili kwa kina taarifa ya majadiliano"
Hivi magwanda mlikuwa mna "taarifa ya majadiliano"? ndiyo ipi hiyo?
Na hapo ndio sijaenda hata kwenye taarifa. Daaahhh, nawaonea huruma sana, hebu someni vizuri kabla hamjaanza "upiganaji" wenu na mimi. Maana kupigana mimi hamniwezi. Bora tubaki kubishana kwa hoja. Haya niambieni ni ipi hiyo taarifa ya majadiliano?

Onesha ni wapi, uongo huo wa wazi wazi.
Na wewe unaongea kiwapi?Wewe nae kwani ukiwa kwenye mtandao lazima uandike kwa lugha usiyoijuwa? ndiyo nini hicho ulichokiandika? si bora ungeandika kichaga tu, wengi wangekuelewa humu.
Hivi mlivyoandika mlikuwa mnafikiri nini? hilo nalo unaweza kusema ni tamko la "wasomi" kweli? kutoka moyoni mwako haswa? mnanisikitisha sana na huu usomi wenu.
Siamini kama Zitto ana lake katika hayo yaliyoandikwa, Zitto si mbumbumbu kiasi hicho.
ccm inatoa tamko chadema inatoa tamko mnatuchosha tuchague lipi? tengenezeni utaifa katika mjadala huu
Duh unasubiri ulinganishe matamko ina maana hujui kinachoendelea, kaazi kweli kweli.
Tafadhali jibu hoja zangu achana na mimi binafsi.
Nimeuliza hayo hapo juu kwenye post yangu #86 naona magwanda kimyaaaa, hamjui mjibu nini.