Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natumaini ulitaka kusema itatumia nguvu za dola lakini mbona hilo limeshajibiwa?Nadhani pia serikali yetu tukufu itatumia zozote zile kuwadhibiti kama sheria za nchi tulizokubaliana tuzifate zinazovosema.
matumizi ya nguvu za dola hayajawahi kuokoa serikali za kidikteta kuondolewa madarakani na Katiba Mpya kupatikana katika nchi mbali mbali duniani na katika Bara la Afrika;
Tusonge!
Lazima tufike.tusisonge
yupi mkweli chadema au ccm? tuchangie kwa hoja kuzichambua hoja zote za pande mbili ili kupata jibu sahihi
Je CDM na vyama vya hiari na watu binafsi haitazuiwa kwa sheria iliyopitishwa juzi ya muswada huo? Yenye faini ya mamilioni au jela? Nadhani itawekewa sahihi haraka sana
mikutano na uelimishaji juu ya katiba YES... maandamano, i dont think so
Wakuu nawakilisha kama ilivyo.
MY TAKE: Watanzania wakiamshwa mapema ktk hili (Sijui CHADEMA wamepanga lini kuanza hiyo mikutano na maandamano) naamini watawala hawatakuwa na ujanja zaidi ya kuurisha tena Bungeni ili kufikia muafaka.
Hawa ndio makamanda wanaoipeleka puta serikali pamoja na serikali kuwa na majeshi yote.
Baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakitoka kwenye kikao chao kilichofanyika Mbezi jijini Dar es Salaam jana.