Tamko la chadema juu ya mauaji ya arusha


You have no respect for human life, I am sure you can kill as well; mwenye pupa wewe, na tena pupa na kufanya uhalifu kwa watu walio na mapenzi mema na wananchi na nchi hii; wewe umetoka wapi kwanza? I am sure sio Mtanzania, maana akili yako ni ya kimaangamizi....acha upumbavu wewe
 
You have no respect for human life, I am sure you can kill as well; mwenye pupa wewe, na tena pupa na kufanya uhalifu kwa watu walio na mapenzi mema na wananchi na nchi hii; wewe umetoka wapi kwanza? I am sure sio Mtanzania, maana akili yako ni ya kimaangamizi....acha upumbavu wewe

I mean wewe Ezan, hakika wewe si binadamu ndio maana wamekuita mbwa
 
SAHIHISHO

Uhalifu wa polisi ulitokana na uchu, ubinfasi na ubabe wa watawala. Wote (POLISI, CCM NA SERIKALI) katika hili ni wahalifu na hakuna anayeweza kumchunguza au kumripoti mwingine.
 
Polisi wanatakiwa kuwajibishwa na viongozi wa chadema wana kesi ya kujibu...huo ndio ukweli, mengine ni ushabiki usiokua na mpango
 
Mauaji yawananchi wasiokuwa na hatia hayakubaliki hata kama maandamano hayakuwa halali!!
 
enzi za ujinga nilidhani dereva akikupigia honi barabarani na wewe usisikie au ukachelewa kumpisha anaruhusiwa kukugonga na gari lake....
nilipokuwa napata uelewa na baadaye kwenda shule ya udereva nikajua kuwa kumbe ni jukumu la dereva kuhahakisha hamgongi mtu hata kama amekataa kutoka barabarani....!!

Mwaka 2001 wakati wa mauaji ya Pemba tuliambiwa na wauaji wa pemba kuwa CUF waliagiza contena la visu kwa ajili ya upambana na polisi na hawakuishia hapo ila walienda mbali na kusema waandamanaji wa CUF walitaka kuteka ghala la silaha ndo wakawaua, nilikuwa mmoja wa wajinga waliowaamini polisi(Ngunguri) hao. Namshukuru Mungu aliyenipa upeo baadaye nikajua kuwa ni rahisi sana kudanganywa na polisi + serikali kuliko mtu mwingine yeyote kwa sababu wajinga wengi wanawaamini sana kuliko mama na baba zao.
Kule Arusha interest ya Waandamanaji ilikuwa kushinikiza kuachiwa kwa Mbunge wao na Mwenyekiti wa Chadema taifa ila polisi wanasema walitaka kuchoma moto kituo, mwenye akili hata kidogo tu kiasi cha mboga anajiuliza hivi wangechoma moto kituo si hata mpendwa wao mbunge angeungua na mwenyekiti wao pia!!??? unaona kabisa ni uongo uliokubuhu. Shame on them.

Kuna kijana alipigwa risasi akiwa amelala chali anaomba wamsamehe mbele ya masista kanisani ila alilambwa risasi ya mguu na kuachwa hapo mpaka Padre alipotoka na kumpigia askari anayemjua ili waje kumchukua ndipo wakaja baada ya dk zaidi ya 30. Mpumbavu bado anaona walistahili watu hawa kupigwa risasi eti polisi wanalinda ghala la silaha lisivamiwe....Siwalaumu sana labda muda wenu wa kuyajua haya bado haujafika ila kama mnatumikia mafisadi ili mpate makombo wanayosaza hakika mnachuma dhambi mbaya sana.

serikali ina vyombo vya habari radio,tv,magazeti,mazungumzo baada ya habari na hata vyombo vya vibaraka wao vinawatukana wananchi baada ya kuwaua! eti wapumbavu wanashangilia na kucheka !!?? Tunisia ilikuwa na utulivu wa kulazimisha huku wakiminya demokrasia na kudhani watu hawatakuja kubadilika ila ilifikia mwisho. Tanzania iko very close to that TAKE CARE YOU I.D.I.O.T.S!!!

Umesema vyema sana ndugu. Kitendo cha polisi na baadhi ya wanaccm na serikali kutetea uhalali wa kuua kinasema kwa herufi kubwa kuwa tuna serikali iliyopoteza dhamiri (tender conscience) kwa ajili ya watu wake. Hipo kuwatumikia watu, ila kutumikiwa na watu. Hata ukiangalia jinsi polisi walivyofanya ukatili kupiga na kuvunja vioo vya gari la mwananchi asiye na hatia (kama ilivyooneshwa na chanel ten), kupiga mtu aliyekimbilia kanisani risasi utaona dhahiri kuwa polisi hawakuwa wanatuliza ghasia, bali walikuwa wamepata nafasi ya kutimiza chuki zao kwa raia. Ilikuwa ni kitendo cha chuki, na ukandamizaji.

Ni jambo la kusikitisha sana kwa polisi kujitetea badala ya kuomba radhi. Hili lilipaliliwa na raisi mstaafu, Mkapa pale alipotetea mauaji yaliyofanywa na polisi kule Pemba. Hii serikali imeshajenga utamaduni mbaya wa kuonea wananchi wake na kuwakandamiza. Haya yasipoangaliwa, na sheria za kuwanyima watu haki ya kuandamana zinazokinzana na katiba (ijapo nayo ina mapungufu) kufutwa, tutafika mahali walipofika Tunisia muda sio mrefu. Wabunge amkeni, inusuruni hii nchi.
 
Acheni upupu we Mbowe na wenzako. Kama Police walikataza maandamano na nyie milipata taarifa na kama nyie ni watu wenye upeo wa kuelewa maana ya katazo la ki-police kwanini msingesitisha maandamano kuokoa roho za wahanga wasio na hatia?. Kitendo cha kushawishi watu wenye uewelewa mdogo na kuishia kuuwawa kitaiandama CHADEMA miaka yote. Chadema kwa hatua ya uchochezi na kusababisha vifo vya watu tayari iko na doa kubwa kuliko Ufisadi wa miaka yote wa CCM. Hakuna sehemu yoyote Duniani watu wasio organised wakaribie kuvamia armory ati muwaachie! Hizo Silaha zingewageukia Chadema wenyewe.
Mtu yoyote mwenye busara na uwelewa na aliyeshudua maandamo ya kuhuni ya Chadema pale Arusha siku ya tukio hana budi kusifia police kwa ku-minimise casualties.

Mmhh,
Some people bwana.....Such biased opinionated crap!
It is a good thing I cant see your face!
Before shooting your mouth off consider these words of wisdom.
"Freedom of the will,therefore,is the ability to make a decision with the knowledge of the subject!" :shut-mouth:

By the way,does the word kanyafu denotes a state of being dead?
 
Back
Top Bottom