Mkuu wazohili lipo sana..na nadhani kuna thread yake somewhere humu....Ni wazo la msingi sana na wengi wamevolunteer kutoa fedha za kuchangia uendeshaji...DR. SLAA,
Nakuona Rais wangu na kiongozi wa serikali (Kimsingi CDM ndo inaongoza serikali). Naomba unisaidie, kwa nini nasi tusiwe na redio pamoja na TV stations? Ninaanza kamchango kangu, ninayo laki 1 mfukoni. Mbona CCM wanayo?
Mpaka kieleweke!
DR. SLAA,

wakatoa onyo na masharti kuwa hakiza binadamu zote lazima zifuatwe na asionewe kwa namna yoyote...
Ha ha haaaa...Namshangaa kiongozi huyu...ana kombora na anawaface maadui anaona soo kuwarushia na kuwasambaratisha...ngoja nijaribu..PakaJimmy please muone Gurudumu akupe kale kamzigo uka-upload youtube sababu yeye anaogopa PLEASE
Yup mkuu...Wasomi ni hazina katika nchi...na mageuzi yoyote katika nchi ni lazima yawe spear-headed na wasomi..tunasubiri vyuo hivyo..Mabadiliko hayaepukiki, ni kama usiku unavyoupisha mchana. Bado Iringa na vyuo vyake vitatu Mkwawa, RUCO na Tumaini. TUNAWASUBIRI KWA HAMU KUBWA.
Tendo la kugawa kadi hadharani linaendelea wakuuu..kuna foleni za hatari...sijui kama Mbowe atafanikiwa kumaliza misururu hii leo.