Tamasha la CDM-Makumira University

Makumira imeshakombolewa...na watu wana hasira sana...wanatamani uchaguzi mkuu ungekuwa kesho..ha ha haaa
 
PJ kweli anastahili pongezi kwa kutuhabarisha. Maana hizi habari zingechakachuliwa tusingeambulia chochote! Keep it up PJ.
 
Akina G.Lema NDIO WANAJIANDAA kuondoka baada ya kuweka sawa mambo yote hapa...Kuna full list ya uongozi wa TAWI JIPYA...KWA UJUMLA MAMBO YOTE YAKO IN CONTROL...
 
Mgeni rasmi ambaye ni Mwenyekiti wa mkoa wa Arusha (cdm)anaondoka akisindikizwa na Mbowe....
 
Sasa kuna nafasi ya pekee kwa waliomo ukumbini...ni nafasi ya msomi yeyote kuuliza swali au kuongea anachoona kitasaidia kujenga chama na taifa kwa ujumla...
 
Mamluki hawapo mkuu?? Maana anaweza kushangiliwa kumbe Chama Cha Maulaji kimerundika mamluki eneo la tukio.......
Mkuu..ni aibu...Si rahisi wakaambulia kitu hapa...Watu wanaonelkana tu kwa sura zao walivyo na uchungu....
Of course hawawezi kukosa kabisa..
 
Zoezi la kadi bado linaendelea...zinagombewa kama mpira wa kona..rekodi zote zinachukuliwa kwa utaratibu maalum...
 
Ikumbukwe pia kwamba Mwenyekiti wa mkoa wa Arusha cdm alishikwa ghafla juzi...na kupelekwa polisi..
 
Zoezi la kadi bado linaendelea...zinagombewa kama mpira wa kona..rekodi zote zinachukuliwa kwa utaratibu maalum...

Twende kazi PJ... ngoja wale wengine watoke kwenye kile kikao ubungo plaza, halafu wasikie habari hizi, wanaweza kujinyonga..akina makamba
 
Kosa lake ni kwamba anaunganishwa katika mashitaka yanayowakabili kina Mbowe Lema na wanachama wengine...
 
Lakini kwa vile ni mtumishi wa UN(ICTR) ilibidi ruhusa ipatikane toka Amerika ili kumpeleka polisi...
 
Jana JK alikuwa Arusha..lakini hakuthubutu kukanyaga ARUSHA MJINI... .ha ha haaaa

Asante sana mkuu, maana hii ni live unatuletea, kweli CDM waanzishe TV, uwezo huo upo na itapata sana pesa maana itakuwa na watu wengi sana na hivo kutumika kwa matangazo ya biashara, n kuwa na vipindi vingi vya elimu ya uraia na kutangaza chama
 
PJ asante sana kwa taarifa. Pale ulipomega airtime yako na juma pili hii utaongezewa.
 
Back
Top Bottom