Tamasha la CDM-Makumira University

Vijana toka wanazaliwa...wanasoma...wanaajiriwa wanasikia waziri ni kingunge tuuuuu
wamechoka!!
 
Maana kwa tendo hilo amewasha moto ambao hatakaa auzime maishani mwake..
 
...Ni kazi ngumu sana..lakini kwa jinsi anavyoona mwitikio wa wananchi anaamini tutashinda soon!
 
Well done Makumira! Tupo pamoja mwanzo mwisho. Heko wanachuo, mapinduzi ya kweli yaja live. Endelea kutujuza
 
Good hakuna wanaorudisha kadi akili tumezielekeza huko baada ya STAR TV kuchakachuwa kipindi cha UKWELI YA YALIYOJIRI ARUSHA
 
Pia kila mmoja wetu ajue kwamba hili ni jukumu lake binafsi kuikomboa nchi....
 
Mbowe anasema kuwa wabunge wote wa CDM WAJINOE KUANZIA SASA...
 
Maana kazi ya ubunge cdm si lelemama, na watafanya kazi kama PUNDA..
 
aNASEMkuwa wahakikishe wanakuwa na magari ya 4WD(four wheel drive...
 
aMESHANGILIWA NA WATU SANA BAAD YA TAMKO HILO...HA HA HAAAAA!
 
Letaaaaaa letaaaa maneno mkuu tuko na wewe saaa ya ukomboziiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!

ni sasa
 
Anasema wasinunue magari ya kutembelea mijini..kazi ni moja tu...kuhamia vvijijini, nyumba kwa nyumba ...
 
Pj tukianzisha chadema tv utakuwa tido wetu!
HII KITU ITAKUWA NZURI MNO, jamani tujaribu kuwashauri viongozi wa chama walishughulikie hili kwani kuna taarifa nyingi zimekuwa hazitufikii zinazohusu chama na zinazoweza kutufikia basi nyingi zinakuwa zimechakachuliwa.....

HIMA VIONGOZI WETU WA CDM TUKO TAYARI KWA MICHANGO, TUFUNGUE KITUO CHETU CHA TELEVISION KWA AJILI YA KUPEANA HABARI ZAIDI
 
Wasidhani baada ya kupata ubunge wanaanza kustarehe...wanatakiwa waage kwa familia zao kuwa wanaenda sasa vitani...
 
Tendo la kugawa kadi hadharani linaendelea wakuuu..kuna foleni za hatari...sijui kama Mbowe atafanikiwa kumaliza misururu hii leo.

Ile ya kipindi kile ilikuwa inaitwa operesheni SANGARA sasa sijui hii tuiiteje maana ni balaa
 
Back
Top Bottom