Takwimu za uchangiaji wa wabunge wa bunge la Tanzania

NITAKUKAMATA TU

JF-Expert Member
Aug 26, 2021
316
364
Habari wa jamvi
Baada ya kufanya uchunguzi wangu kuhusiana na mienendo ya uchangiaji wa hoja mbalimbali bungeni,
Nimekuja na takwimu hizi

1-. 30% -ya wabunge ndio wanaochangia mada kila kikao cha bunge

2-. 24% ya wabunge kazi yao ni kupiga piga meza tu ,wakati wenzao wanachangia
3-. 23% ya wabunge uchangia mada kila baada ya miezi 6-7

4 .10% ya wabunge kazi yao kuingilia uchangiaji wa mtu kwa kusema "taarifa taarifa mh spika"

5. 9% ya wabunge kuchekesha bungeni tu

6.3% ya wabunge kuleta wageni wao na kuwatambulisha bungeni

7. 1% ya wabunge usubiri muda wa kuahirisha bunge ili wakanywe chai
 
Uchangiaji wa wabunge wa Tanzania😁😁😁

Na hiyo 30% ya wanachangia, 90% ya hiyo ni Upupu tu hakuna chochote cha maana
 
Back
Top Bottom