Sijijui
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 7,879
- 8,800
Mkuu hao walipa Kodi watakuwa wameanza kuwa wavivu,wanasimamishaje kazi zao? Au wamekuwa mawakala wa mabeberu? Kama wapo Dar mwambie Bashite awapelekee police haraka sana.Watu wote mnatakiwa mchape kazi,hata Kama ukiona maiti mbele yako wewe iruke tu endelea kuchapa kazi,serikali inataka revenueUtaingizaje pesa km walipa kodi wakisimamisha shughuli zao?
Unajua kwamba mshahara inatokana na kodi ?