Taji Liundi avunja ukimya kuhusu COVID-19

Utaingizaje pesa km walipa kodi wakisimamisha shughuli zao?

Unajua kwamba mshahara inatokana na kodi ?
Mkuu hao walipa Kodi watakuwa wameanza kuwa wavivu,wanasimamishaje kazi zao? Au wamekuwa mawakala wa mabeberu? Kama wapo Dar mwambie Bashite awapelekee police haraka sana.Watu wote mnatakiwa mchape kazi,hata Kama ukiona maiti mbele yako wewe iruke tu endelea kuchapa kazi,serikali inataka revenue
 
Kwani yule mkewe ambaye kwa sasa ni mkurugenzi mtendaji wa asasi moja isiyo ya kiserikali wameachana? Au kama bado wapo wote, na wao wameenda likizo bila malipo?
 
Tuendelee kuomba kila mtu na dini yake ,hii ndio solution pekee iliopo,najua wakati wa uzima wengi tulisahau hata kwenda misikitini na makanisani,hata kufanya ile ibada ya nyumbani tu ilikuwa ni shida,sasa yameshatufika kooni,Mungu ni mwema, tutubu dhambi zetu na kukiri kuziacha,Mungu ni mwenye huruma atasikia kilio chetu na kutuponya na hili balaa......
Amen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ummy anaipenda kazi yake, wewe.
Pole Taji, hali ni mbaya kote, walimu shule binafsi tumepewa likizo bila malipo, hata mshahara wa April hatujapewa, bora wewe una laki 3 ndani...... Ummy tunakupenda na kukuombea kila siku tunaomba takwimu tujue tuko wapi
 
Hapo ni partial lockdown ,tukiingia total lockdown tutatafutana.
Jamani hiyo lockdown imetangazwa lini? Au Magufuli amehamia Chadema?maana nilisikia kuwa Chadema ndo wanataka lockdown ili watu wafanye fujo wampindue magufuli
 
Hawa ndio waliongoza kutudharau Watumishi wa Umma kwamba tunaishije na mishahara kidoogo na madeni kibao? Iendelee kidogo tusheshimiane, shenzytpe!!
Naona hapa umeongea ki ushabiki shabiki tu, haujui uchumi kuyumba utagusa hata huko serikalini, tuombe ugonjwa usiendelee muda mrefu, mishahara inatokana na makusanyo ya kodi, nk hivyo kama sekta binafsi inayumba serikali itakusanya kodi kutoka wapi?
 
Naona hapa umeongea ki ushabiki shabiki tu, haujui uchumi kuyumba utagusa hata huko serikalini, tuombe ugonjwa usiendelee muda mrefu, mishahara inatokana na makusanyo ya kodi, nk hivyo kama sekta binafsi inayumba serikali itakusanya kodi kutoka wapi?
Sawa mkuu. Ila unajua fedheha tulizozipata kwa watu kama hawa na wajasiriamali mtaani. Hali ikifikia huko Itajulikana
 
Kwani lockdown imetanzwa au ndo ishajiweka automatic
Hakunaga lockdown,ila nadhani Kuna sector zimeathirika mfano Hawa washereheshaji,
Mimi nachomshauli,afungue biashara inayoendana na wakati husika,mfano kwa Sasa caretaker inaweza kulipa au hata commercial lab ya kupima covid 19,
Mazao ya chakula etc
 
Kwani yule mkewe ambaye kwa sasa ni mkurugenzi mtendaji wa asasi moja isiyo ya kiserikali wameachana? Au kama bado wapo wote, na wao wameenda likizo bila malipo?
Hayo ni maisha binafsi ya MTU
 
Back
Top Bottom