Tajamakabila lenye wasomi wengi tanzania !

Mpigamsuli

JF-Expert Member
May 24, 2012
3,885
575
wana jf hebu nisaidieni kwenye hili je ni kabila gan linaloongoza kuwa na wasomi weng tz pls uclete bayaznes
 
Vipi kuna sensa yoyote iliyofanyika hivi kalibuni iliyojihusisha na swala la ukabila!
 
Tayari mumeshaanza! Manzese keshapigwa BAN. Huko muendako nina hakika mnaialika BAN. Makabila ya nini bana? Jengeni nchi yenu achaneni na mambo madogomadogo kama ya ukabila!
 
Ni sisi WAHADZABE.....Kweli JF imeingiliwa hadi upumbavu kama huu unaruhusiwa hapa!
 
wewe dogo unaejiita mpigamsuli vp mbona thread zako zote zimekaa kiushindani sana ninawasiwasi na umri wako.
 
Vp kwani anatafutwa RAHISI!!!!Si wanasema eti rahisi asitoke kwenye kabila lenye wasomi wengi! au nimikosea?
 
Ni sisi WAHADZABE.....Kweli JF imeingiliwa hadi upumbavu kama huu unaruhusiwa hapa!
Mkuu, sasa unataja Wahdzabe halafu tena unalalamikia thread? Kwa kitendo cha kuchangia majibu ya mjadala, umeungana na hao uliowatukana!
 
Back
Top Bottom