Ajira kwa wasomi wetu ni bodaboda, umachinga na kubeti

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,283
2,043
Naanza kuamini kuwa CCM katika ILANI yake ya Uchaguzi mwaka 2025 suala la AJIRA kwa Vijana Wasomi litakuwa ni BODABODA,UMACHINGA na KUBET.

Nasema hivyo kutokana na CCM kushindwa kabisa kutengeneza nafasi za Ajira kwa Wasomi wetu.

Nchi haina Viwanda ambavyo vingechukuwa Wasomi wengi badala yake Wasomi wetu wamekuwa wakiranda na Bahasha za kaki kutafuta Ajira bila Mafanikio na kuamua kuingia Mikataba ya kuendesha Bodaboda na wamiliki Kufanya Umachinga na wengine kushinda kwenye Vijiwe vya Kubet hayo ndio maisha na Ajira za Wasomi wetu.
 
Naanza kuamini kuwa CCM katika ILANI yake ya Uchaguzi mwaka 2025 suala la AJIRA kwa Vijana Wasomi litakuwa ni BODABODA,UMACHINGA na KUBET.Nasema hivyo kutokana na CCM kushindwa kabisa kutengeneza nafasi za Ajira kwa Wasomi wetu.Nchi haina Viwanda ambavyo vingechukuwa Wasomi wengi badala yake Wasomi wetu wamekuwa wakiranda na Bahasha za kaki kutafuta Ajira bila Mafanikio na kuamua kuingia Mikataba ya kuendesha Bodaboda na wamiliki,Kufanya Umachinga na wengine kushinda kwenye Vijiwe vya Kubet hayo ndio maisha na Ajira za Wasomi wetu.

Hata Kama hauna Ajira sio sahihi kwenda kufanya hizo mishe
 
Huwezi kutoboa katika hizo mishe

Bodaboda ilikuwa zamani sio sasa hivi same applied ktk umachinga.

Skills ndo angalau Una we za kufamania dili ukasahu shida

Msomi ukiona hamna Ajira nenda VETA soma short course yoyote yenye market mtaani
Unafanya kilicho mbele yako huku ukisubiri kikubwa

Huwezi kusubiri kazi ya kiyoyozi huku upo kijiweni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Exactly imefika mahali nchi hii kijana kufanikiwa ni bahati nasibu mf. kubet na biashara Haramu including pesa za mapepo....
 
Inasikitisha sana .......... Mbaya zaidi watu Wala hawajali Kwa mfumo huo kwani kusiwe na wakamaria,majambazi,vibaka,makahaba wengi mtaani?
 
Naanza kuamini kuwa CCM katika ILANI yake ya Uchaguzi mwaka 2025 suala la AJIRA kwa Vijana Wasomi litakuwa ni BODABODA,UMACHINGA na KUBET.

Nasema hivyo kutokana na CCM kushindwa kabisa kutengeneza nafasi za Ajira kwa Wasomi wetu.

Nchi haina Viwanda ambavyo vingechukuwa Wasomi wengi badala yake Wasomi wetu wamekuwa wakiranda na Bahasha za kaki kutafuta Ajira bila Mafanikio na kuamua kuingia Mikataba ya kuendesha Bodaboda na wamiliki Kufanya Umachinga na wengine kushinda kwenye Vijiwe vya Kubet hayo ndio maisha na Ajira za Wasomi wetu.
Nani aliwalazimisha kujipotezea muda kusoma hadi chuo ili hali akijijua hiyo elimu haitamkomboa kifikra kupambana na maisha? Hawa ndo wale wakipata ajira ni kukwiba na kujihusisha na vitendo vya kifisadi. Kama elimu ya chuo kikuu imeshindwa kukuonyesha fursa ya kujipatia kipato hata ukiajiliwa ni majanga. Ifike wakati wanaostahili kwenda chuo wawe ni wale wanaojitambua kwasababu wengi wanaenda kwa mkumbo na kulazimisha waajiriwe! Mtaisoma namba!
 
Back
Top Bottom