Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,476
- 4,755
Wakuu Timu yetu ya Taifa,Taifa stars leo inapambana na Sudan ambapo mshindi atapata tiketi ya kushiriki mashindano ya CHAN..Naomba wana JF watakaokuwa wakipata matokeo wakati mechi ikiendelea wawe wanatujulisha hapa moja kwa moja(Live coverage)..Tuiombee timu yetu ishinde japo twende CHAN jamani...Mungu ibariki Tanzania,Mungu ibariki Taifa stars