TAIFA STARS Vs SUDAN-2nd Leg

Balantanda

JF-Expert Member
Jul 13, 2008
12,476
4,752
Wakuu Timu yetu ya Taifa,Taifa stars leo inapambana na Sudan ambapo mshindi atapata tiketi ya kushiriki mashindano ya CHAN..Naomba wana JF watakaokuwa wakipata matokeo wakati mechi ikiendelea wawe wanatujulisha hapa moja kwa moja(Live coverage)..Tuiombee timu yetu ishinde japo twende CHAN jamani...Mungu ibariki Tanzania,Mungu ibariki Taifa stars
 
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Taifa Stars. Tunakuomba utusaidie tusonge mbele!
 
Kama kila kitu kikienda sawa ( hili cable langu famba ) nitawaletea updates za mchezo na kwa wale wenye arab sat nitawapa freq baadae kidogo si unajua tena mmabo ya michebo.

Watch this space....
 
Hivi jamani mechi inaanza saa ngapi kwa muda wa Afrika Mashariki
 
Kama kila kitu kikienda sawa ( hili cable langu famba ) nitawaletea updates za mchezo na kwa wale wenye arab sat nitawapa freq baadae kidogo si unajua tena mmabo ya michebo.

Watch this space....

Mkuu Masatu hizo freq(kwa wenye Arab sat) twazisikilizia
 
Mechi ishaanza ipo NILE SAT 101 - 102 napata live hapa dakika ya 4 bado 0-0
 
Mkuu Masatu, tuwekee vizuri basi nasi tufaidi. Tupe website tukodolee. Hiyo NILE SAT 101 - 102 inatupaisha mheshimiwa! mida ndiyo hiyo inayoyoma!
 
Unaeliza link unajua unachouliza? Mimi naangalia kwenye TV arab sat nimekupa freq unataka link mie siangalii kwenye internet mkuu.

Anyway dakika 15 bado tunaongoza 1-0
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom