TAIFA STARS Vs SUDAN-2nd Leg

Hao sudan ni warabu tu sema wengi warabu weusi, so mbinu chafu ndio huwa ushindi wao
bila mbinu chafu hawana kitu, ila kwasababu tunaongoza naamini vijana kujiamini
kutaongezeka. Labda kamati zao za ufundi ziwachanganye Lol!
 
Komavu,

Usemayo ni sahihi kabisa jamaa wanambinu chafu na inaelekea refa anapelekeshwa na crowd lakini so far so good 1-1 half time tusubiri kipindi cha pili
 
Hata wakitufunga, lazima tutasonga kwa kuwa kwenye three best losers. sdhani kama kuna best kama yetu so far! Tuna goli nne tayari. I believe tunasonga mbele
 
MMh mambo ya kisebu sebu na kiroho papo inabidi niwe na flip channel si unajua leo Manu wako ma White harte lane huko nako watoto wamebana bado 0-0
 
Chamuhimu Maximo anatakiwa kuliona hilo mapema ili kipindi cha pili vijana waingie uwanjani
wakijua haswa kuna mbinu chafu so wacheze jihadi, ukitaka kuwachanganya hao watu vijana watulie then JIHAD tu.
 
Komavu,

Usemayo ni sahihi kabisa jamaa wanambinu chafu na inaelekea refa anapelekeshwa na crowd lakini so far so good 1-1 half time tusubiri kipindi cha pili

Hata wafanye mbinu chafu kiasi gani lazima tuwapige ama tutoke sare so far goli la ugenini linatupa nguvu mkuu
 
Hata wakitufunga, lazima tutasonga kwa kuwa kwenye three best losers. sdhani kama kuna best kama yetu so far! Tuna goli nne tayari. I believe tunasonga mbele

Goli la ugenini litatutoa mkuu,,Ivory Coast lazima twende
 
Hata wafanye mbinu chafu kiasi gani lazima tuwapige ama tutoke sare so far goli la ugenini linatupa nguvu mkuu

Dont think kama kuna best loosers kwenye michuano hii kumbuka hakukuwa na makundi ni mtoano toka mwanzo
 
Mkuu Masatu,,kwani mpaka sasa Sudan wanahitaji kutufungam magoli mangapi ili waendelee??,maana mpaka sasa ni 4-2(aggregate)
Ili watutoa watufunge 4-1 au zaidi ikiwa 3-1 kutakuwa na dk 30 za nyongeza then penati
 
Dakika 51 tunawashambulia sana kipindi hiki kumbuka best way of defence is attack bravo Maximo
 
Ili watutoa watufunge 4-1 au zaidi ikiwa 3-1 kutakuwa na dk 30 za nyongeza then penati

Sidhani kama wataweza kutufunga hizo 4-1,,,labda kipa aendelee na magumashi yake....2nd half vp mkuu imeanza??
 
Kipa wetu kaumia tena of course ana run down clock which is good.

Inafurahisha kuona kuna wabongo kiasi uwanjani wanakamua na bendera zao.

Dk 55 bado 1-1
 
Kuna ngumi uwanjani oooh sasa vijana wanataka kumpa sababu refa awape kadi nyekundu lakini salama hakuna kadi.

Unajua jamaaa wanaprovoke sasa watoto wasipokuwa makini itakuwa noma
 
Washaanza kuleta mambo ya Kiswahili,,inabidi wadhibiti hasira maana kama ulivyosema Wasudan wanajitahidi kufanya fitna ili refa atwape wachezaji wetu kadi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom